DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba miongoni mwa malengo yaliyopo kwenye mkakati wa utekelezaji ni pamoja na kutengeneza umeme wa upepo ambao utategwa na kuingizwa kwenye Grid ya Taifa.
Dkt. Samia ameyasema hayo Visiwani Zanzibar katika Mkutano wa Kampein uliyofanyika leo Septemba 20, 2025 Pemba.
Dkt. Samia ameyasema hayo Visiwani Zanzibar katika Mkutano wa Kampein uliyofanyika leo Septemba 20, 2025 Pemba.