Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania currently produces more than 1mn tonnes of rice, which makes it the second largest rice producer in Africa after Madagascar, which produces about 2.5mn tonnes. However, local authorities see growth potential for the country mainly as a result...
Madagascar: total area: 587,041 sq km (land: 581,540 sq km & water: 5,501 sq km )
with the population of 22,599,098 (July 2013 est.)
Tanzania: total: 947,300 sq km (land: 885,800 sq km & water: 61,500 sq km )
Population 48,261,942 (July 2013 est.)
Ivi kwa nini hatunaga wivu wa maendeleo hawa jamaa tumewazidi idadi ya watu(implies huge labour force) na ata ukubwa wa ardhi tumeashinda yet wanatuongoza kwenye uzalishaji wa mpunga.
I know with government intervention kwenye kilimo cha zao hili kwa kuwawezesha wakulima wa kamsamba,shinyanga,kyela,mahenge,mbalali etc
Tanzania inastahili kupata 50%ya pato la madini badala ya 3% kustahili kwaweza kuwa na maana nyingi teh teh teh.Niwe mgeni au mwenyeji niwe nje au ndani ya inchi Tanzania deserves to be the first producer given the land and the labour force we have.
hakuna cha kujisifu wala nini? wapili katika kundi la wavivu Africa...!Tanzania currently produces more than 1mn tonnes of rice, which makes it the second largest rice producer in Africa after Madagascar, which produces about 2.5mn tonnes. However, local authorities see growth potential for the country mainly as a result...
Madagascar: total area: 587,041 sq km (land: 581,540 sq km & water: 5,501 sq km )
with the population of 22,599,098 (July 2013 est.)
Tanzania: total: 947,300 sq km (land: 885,800 sq km & water: 61,500 sq km )
Population 48,261,942 (July 2013 est.)
Ivi kwa nini hatunaga wivu wa maendeleo hawa jamaa tumewazidi idadi ya watu(implies huge labour force) na ata ukubwa wa ardhi tumeashinda yet wanatuongoza kwenye uzalishaji wa mpunga.
I know with government intervention kwenye kilimo cha zao hili kwa kuwawezesha wakulima wa kamsamba,shinyanga,kyela,mahenge,mbalali etc
Issue apa ni ardhi kama bonde la Kilombero(acha kyela Mbalali Kamsamba) if well utilised laweza Lisha Africa sasa kama Nigeria na Egypt wana mabonde suitable for ricefarming educate me on thatKama hiyo ndo factor basi wa kwanza angakua Nigeria akifuatiwa na Misri sisi hata tano bora tusingekuwemo.
mh hiyo rice inalimwa wapi? Maana juzi tu hapa serikali imeagiza au kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mchele toka nje. Naona km kuna walakini hapo
wewe pia umepinga lakini hujatuwekea hiyo source yako?Naona taarifa hii kwamba Tanzania ni nchi ya pili Africa kuzalisha mpunga mwingi ni mpya imetoa jikoni leo, labda ni nchi ya pili kwa zile zilizoko kusini mwa Ikweta. Nashangaa ni lini Tanzania tumevuka nafasi yetu ya nne na kuwapita Misri na Nigeria!? Siku hizi ubishi sipendi maana lolote linawezekana ninachoomba ni source ya hizi taarifa! Hatuna jeuri ya kuwapita Misri na Nigeria kwa muda huu! Msilete siasa kwenye facts! Watanzania ndani ya nchi huwa tunajifagilia sana na kupandishana chat sana kwamba mambo ni mazuri sana lakini ukishaenda kwenye level ya kimataifa ndiyo utagundua jinsi tulivyo nyuma kwenye mambo mengi tu ikiwamo kilimo, asikudanganye mtu! Subirini Kenya wanajipanga na serikali ya Jubilei muone kama tutawauzia mpunga tena, tutaishia kuhesabu mito, maziwa na mabonde tuliyonayo tumesahau tatizo letu kubwa ni quality of human resource!!
Sio swala la kuridhika au kutokuridhika, ni swala la kwanza kutambua jitihada za watu wengine na kuwapa hongera pale wanapojitahidi halafu mapendekezo ndiyo yanafwata baadae, kwangu mimi kama hiyo Habari ni ya kweli basi nasema HONGERA KWETU tena sana tu, kwani kuwa wa 2 (kama ni kweli) ktk Bara lenye watu bilioni 1 na sisi tuko chini ya milioni 44, tunastahili pongezi kwanza, halafu baadaye ndio kuanza kuangalia kwa nini tusiwe wa 1
Huu ni upuuzi wakati unaweza endeleza kilimo cha ALIZETI maeneo wanayolima kama SINGIDA IRINGAKuna kale ka nchi wapo watu 500,000 waliingia AFCAN, sisi 48,000,000 hakuna kitu.pamoja na kuwa wa 2 bado tuna import mchele toka thailand,na mafuta ya kula toka malaysia
Mimi nilifikiri ungeanza angalau kwa kusifu badala ya kulaumu tu kila siku, Kutokana na maelezo yako sisi ni wa Pili ktk Bara la Afrika, hauoni kama tumejitahidi sana, sisi tuko chini ya watu milioni 44 na niwa pili Afrika kwa kulima Mpunga, huuu Hongera zetu!
Tanzania currently produces more than 1mn tonnes of rice, which makes it the second largest rice producer in Africa after Madagascar, which produces about 2.5mn tonnes. However, local authorities see growth potential for the country mainly as a result...
Madagascar: total area: 587,041 sq km (land: 581,540 sq km & water: 5,501 sq km )
with the population of 22,599,098 (July 2013 est.)
Tanzania: total: 947,300 sq km (land: 885,800 sq km & water: 61,500 sq km )
Population 48,261,942 (July 2013 est.)
Ivi kwa nini hatunaga wivu wa maendeleo hawa jamaa tumewazidi idadi ya watu(implies huge labour force) na ata ukubwa wa ardhi tumeashinda yet wanatuongoza kwenye uzalishaji wa mpunga.
I know with government intervention kwenye kilimo cha zao hili kwa kuwawezesha wakulima wa kamsamba,shinyanga,kyela,mahenge,mbalali etc
Nimekubali mkuu lakini tukijaribu kwenda mbele zaidi kulinganisha na population ya nigeria ya 162+m...vs 44m ya tz...tunaona relative to population bado tz inazalisha zaidi ya Nigeria.
ratios za kawaida tu TZ 1/44m = 0.023
NG 2.8/162M = 0.017.
Kwa context hiyo Tz inazalisha zaidi ya Nigeria....Wasalaam
wewe pia umepinga lakini hujatuwekea hiyo source yako?