Tanzania second largest producer of RICE in Africa

Hiyo labourforce umewajumuisha watoto? ambao ni almost 50% ya population?
 

Kama hiyo ndo factor basi wa kwanza angakua Nigeria akifuatiwa na Misri sisi hata tano bora tusingekuwemo.
 
Niwe mgeni au mwenyeji niwe nje au ndani ya inchi Tanzania deserves to be the first producer given the land and the labour force we have.
Tanzania inastahili kupata 50%ya pato la madini badala ya 3% kustahili kwaweza kuwa na maana nyingi teh teh teh.
 
hakuna cha kujisifu wala nini? wapili katika kundi la wavivu Africa...!
 
Hiyo labourforce umewajumuisha watoto? ambao ni almost 50% ya population?

15-24 years: 19.4% (male 4,689,483/female 4,694,663)
25-54 years: 29.3% (male 7,095,382/female 7,060,506)ni hesabu ndogo tuu za plus na minus
 
Kama hiyo ndo factor basi wa kwanza angakua Nigeria akifuatiwa na Misri sisi hata tano bora tusingekuwemo.
Issue apa ni ardhi kama bonde la Kilombero(acha kyela Mbalali Kamsamba) if well utilised laweza Lisha Africa sasa kama Nigeria na Egypt wana mabonde suitable for ricefarming educate me on that
 
mh hiyo rice inalimwa wapi? Maana juzi tu hapa serikali imeagiza au kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mchele toka nje. Naona km kuna walakini hapo

Unakuwa kama huijui serikali yako wao huagiza kila kitu ili mradi wakubwa wana % zao.Tuna cement ya kutosha bado wanaagiza ya toka Pakistan,tuna mpunga wa toka magharani wa mwaka jana bado wanaleta wa Pakistani ila hukuti wameleta Sukari bse wakubwa wana hisa kwenye ivyo viwanda same to DSTV ukuti bei imeshuka ni kupanda tuu daily ili wazee waendelee faidika
 
wewe pia umepinga lakini hujatuwekea hiyo source yako?
 

Tz bwana tulivyozoea UDAKU ata issue serious unahisi imekaa kiudaku in fact its a semina niko invited kuhudhulia:The fate of Rice farming In Africa.Bse mimi ni mdau kwenye sector ya Kilimo.Think big make use of the internet upate maarifa na ufahamu wa vitu vingi.
 
Kuna kale ka nchi wapo watu 500,000 waliingia AFCAN, sisi 48,000,000 hakuna kitu.pamoja na kuwa wa 2 bado tuna import mchele toka thailand,na mafuta ya kula toka malaysia
Huu ni upuuzi wakati unaweza endeleza kilimo cha ALIZETI maeneo wanayolima kama SINGIDA IRINGA
Tena unawaokoa WATZ na cholestrol
 

Hongera ya nini wakati bado tunaagiza second class mchele kutoka Thailand? huo usecond position ni hesabu tu hauna maana yoyote.
 


Ukiwa na serikali makini, anything inawezekana ila kwa utawala huu, sijuwi!
 

Kwa staili yako unaweza kukuta tunaongoza dunia nzima maana population ya China, Japan, US, ni kubwa kwa mbali sana kuliko sisi! Kwa context hiyo nadhani Tanzania inaongoza dunia nzima!!! Ha ha haaa
 
Mtu unaweza kuwa wa kwanza wa tiro, sasa hapo ndio pa kujisifia?

Hadi siku tutapozalisha mpunga wa kutosha kukidhi hitaji la ndani, sijaona cha kupongezana bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…