Tanzania seeks consultancy service provider for delayed LNG project

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
DAR ES SALAAM, April 13 (Reuters) - Tanzania has invited bids for consultancy services to help the government conclude negotiations with a group of international oil firms on a deal for the construction of a proposed liquefied natural gas (LNG) plant.

Tanzania boasts estimated recoverable reserves of over 57 trillion cubic feet (tcf) of natural gas.

Construction of an LNG export terminal has however been held up by regulatory delays.

BG Group, which was acquired by Royal Dutch Shell in 2016, alongside Statoil, Exxon Mobil and Ophir Energy, plan to build a $30 billion onshore LNG export terminal.

The firms plan to develop the project in partnership with the state-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) in the south of the country near large offshore gas discoveries.

TPDC said it was now searching for a consultant to develop a commercial, legal and technical framework for the LNG project.

“The objective of the assignment includes ... to build capacity and facilitate the government negotiation team (GNT) team and to devise the best approach to undertake negotiations of the host government agreement,” TPDC said in a tender announcement on Thursday and seen by Reuters on Friday.

Tanzania’s national oil company said the transaction advisor was expected to complete the work in two years.

A host government agreement is seen as a crucial step towards reaching a final investment decision for the long-delayed project.

Tanzania’s LNG project has previously been held back by a bureaucratic land acquisition process and the protracted approval of a new legal and regulatory framework for the East African nation’s nascent hydrocarbon industry.

Negotiations for a host government agreement were launched in September 2016 and were initially expected to be completed before the end of this year.

Industry players said a final investment decision on the LNG export terminal will not be made for at least four years and possibly much longer.

It would take another five years after the decision to build the plant.

Since coming into office in late 2015, Tanzanian president John Magufuli has ordered government officials to speed up work on the planned LNG plant, saying implementation of the project had already taken too long.

The country’s central bank believes just starting work on the plant would add another 2 percentage points to annual economic growth of around 7 percent. (Editing by Elias Biryabarema, editing by David Evans)
 
Hii Nchi ya viwonder ni bure kabisa tena sana. Huu Upuzi hebu weka pale Jukua la siasa uone vile Watanzania watapokea habari Hii halafu urudi hapa na kutupatia a comprehensive report on the same. Kama Kazi ni kushindana na Kenya, you will fail terribly and never emerge from LDC status.
 
Hongera, ila nilijua mlishapita huku, kumbe ndio bado mnatafuta mshauri. Halafu naona kila kitu mnatafuta consultant, sasa vyuo vyenu hivyo mlikwenda kusomea nini.
- Negotiations consultants
- Legal framework consultants

Hao wazungu mnategemea waje kuwaandikia hizi documents ndio hucheza karata za kuwatafuna, maana nyie wavivu likija suala la kusoma haswa Kingereza. Mjifunze high level negotiations and transactions ili muwe mnafanya wenyewe sio baadaye muingie choo cha kike kama ilivyo kwa madini yenu.

Halafu naona LNG export terminal nayo imekua kizungumkuti, eti miaka mingine mitano bado mtakua mnahangaika nayo....Anyway hongera, mpambane ili mtoke huko LDC mje tusukume gurudumu kama power-houses.
 
"Tanzania's LNG project has previously been held back by a bureaucratic land acquisition process..."

I thought public projects in Tz don't face such mundane stuff like land acquisition going by the bravado of bongolala brigade on JF that land matters are no hindrance!
Again,think of it,why was the hurry to declare project take-off if the basics like consultancies weren't done? Wonders of Viwonder!
 
Hongera, ila nilijua mlishapita huku, kumbe ndio bado mnatafuta mshauri. Halafu naona kila kitu mnatafuta consultant, sasa vyuo vyenu hivyo mlikwenda kusomea nini.
- Negotiations consultants
- Legal framework consultants

Hao wazungu mnategemea waje kuwaandikia hizi documents ndio hucheza karata za kuwatafuna, maana nyie wavivu likija suala la kusoma haswa Kingereza. Mjifunze high level negotiations and transactions ili muwe mnafanya wenyewe sio baadaye muingie choo cha kike kama ilivyo kwa madini yenu.

Halafu naona LNG export terminal nayo imekua kizungumkuti, eti miaka mingine mitano bado mtakua mnahangaika nayo....Anyway hongera, mpambane ili mtoke huko LDC mje tusukume gurudumu kama power-houses.

Mwanzoni ulianza vizuri lakini baadaye ukaanza kutuponda. Sasa nyie negotiation na Chinese kwenye SGR mbona imekuwa hivyo? Au documents zilikuwa in mandarin??
 
Mwanzoni ulianza vizuri lakini baadaye ukaanza kutuponda. Sasa nyie negotiation na Chines kwenye SGR mbona imekuwa hivyo? Au documents zilikuwa in mandarin??

Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.

Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.

Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
 
Brother we have serious guys who are indebted to do the country assignments. sijui kama bado kuna aina hiyo ya watu kwenye public service.
 
Hongera, ila nilijua mlishapita huku, kumbe ndio bado mnatafuta mshauri. Halafu naona kila kitu mnatafuta consultant, sasa vyuo vyenu hivyo mlikwenda kusomea nini.
- Negotiations consultants
- Legal framework consultants

Hao wazungu mnategemea waje kuwaandikia hizi documents ndio hucheza karata za kuwatafuna, maana nyie wavivu likija suala la kusoma haswa Kingereza. Mjifunze high level negotiations and transactions ili muwe mnafanya wenyewe sio baadaye muingie choo cha kike kama ilivyo kwa madini yenu.

Halafu naona LNG export terminal nayo imekua kizungumkuti, eti miaka mingine mitano bado mtakua mnahangaika nayo....Anyway hongera, mpambane ili mtoke huko LDC mje tusukume gurudumu kama power-houses.
Huna inachokijua. Remember its a 30bn usd project. Tz and the entire EA has no experience on LNG. we really need to get much out of this project ndio maana tunatafuta consultant. Even devoped countries huwa wantafuta consultant pia if needed
 
Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.

Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.

Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
Lol. Hayo nimawazo yako. Mbona kwenye bomba la mafuta kutoka uganda hatujaseek consultation? This is a big project my friend
 
Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.

Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.

Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
Ripoti gani uliandaa na kazi yako ya Urubani? Wacha masifa.
 
We jamaa unajifanya unawajua sana wabongo?Kwahyo hao watu wako wawili ndio tayari ushapata sampuli ya kuwakilisha Nchi nzima?

Hivi uwekezaji wa $30 billion unauonaje?ni zaidi ya kujenga SGR ya umeme kuzunguka kaunti zenu zote.
 
Huna inachokijua. Remember its a 30bn usd project. Tz and the entire EA has no experience on LNG. we really need to get much out of this project ndio maana tunatafuta consultant. Even devoped countries huwa wantafuta consultant pia if needed

Makes sense lakini build capacity msitegemee consultants kwa kila kitu, mtaliwa...
 
Acha kujikuta Unatujua Watiz kichwa kimejaa Masifa na kujisifia as if umekua Albert Einstein
 
Makes sense lakini build capacity msitegemee consultants kwa kila kitu, mtaliwa...
Nchi za Africa tuna ibiwa siyo kwa sababu hamna wataalamu ila ni kwa sababu watu wachache wenye mamlaka wana tanguliza matumbo yao. A bad deal ina onekana kirahisi sana, ila basi tu watu wana jitiaga upofu. Tena ishu kama hizi una eza jifunza kwa waliokutangulia. Kuna kitu Magu atakua amekiona kama deal la SGR ya wachina (ambao Kenya mlilikubali) hii ni mbinu ya kuwapinga ki diplomasia na kupata uhakika zaidi.
 
kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.

Nakuona katika ubora wako! Arrogant as you used to be!

*Hebu twambie, hiyo consultancy mlifanya kwa public au private entity?
*Baada ya kukosekana aliyesoma hata page moja, mlifanyaje aftermath?
 
Hilo swali nakushauri, ili upate jibu rahisi, muulize mkandarasi yeyote ambaye anaishia kuandika maripoti baada ya kazi huko kwenu. Kama unaye rafiki yeyote, utapata jibu nzuri tu.
 
Hili ni la kwako kujibu, maana liko personal
 
Kingine hawajui JPM ali-scrap agreement zote ambazo zilikuwa zinatulalia?
U are the really asset at home nigger, just keep it up. I had been for a time following ur posts, they're incredibly constructructive and pro-nationalistic, something many here can't afford and never dared to adhere.
 
Back
Top Bottom