Tupatie evidence kuwa ni mtumbapesa gani zenu wenyewe ndege mlipiga vigeregere kumbe ni mtumba. wajinga ndio waliwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupatie evidence kuwa ni mtumbapesa gani zenu wenyewe ndege mlipiga vigeregere kumbe ni mtumba. wajinga ndio waliwao
Lengo la Magufuli ni umeme ushuke sana iliviwanda viweze kushamiri.Hii project ikiisha bei ya umeme itashuka sana!
Hivi Kenya huwa mnamlipa mkandarasi pesa zote kwa wakati mmoja ?? Hivi unaweza kujenga Dam kwa mwaka mmoja ?? Tena hii Dam ni kubwa zaidi.Is 300 million enough???
Ahsante na ubalikiwe. Mwenzako Mwaswast bado ana resist kama donkey. 😀😀I must say honestly, the only thing that has impressed me by Tanzania is that you are using internal sources of finance for your projects. The ministry of energy has set aside 41% of its budget for this project, that is simply amazing and all African countries should follow that direction. That also means the recurrent expenditure for the ministry of energy is quite low and that is why they are spending more than 41% on development. Sio kila saa ni battle na matusi, saa zingine ni vizuri kupongeza ambapo jirani anafanya vyema. Ikifika ni mambo ya financial management, mko mbele ya countries nyingi sana hapa Afrika.Hii ni ukweli na lazima isemwe. Lakini hiyo haimaanishi hamna mapungufu yenu nyingi ambayo lazima mzingatie. That is my two cents on Tanzania's fiscal policy.