Tanzania SGR Bridges are crazy!

Tanzania SGR Bridges are crazy!

Mi Nasikitika tu nitakapokuwa nikipita kwenye sgr huku naona vile vibanda umiza vya shauri moyo
 
Mkuu hii ni render au picture from China
Render za SGR ziliishia kua za ukweli na zilitoka vile vile kama zilivyokua kwa picha , infact actual buildings zinavutia zaidi ya picha, za Tanzania hakuna hata moja ni reality bado ni ndoto

Render
httpnairobiwire_comwp-contentuploads201610south.jpg

Vs Reality
httpantonytrivet_co.jpg

Haya lete moja ya Tz
 
Render za SGR ziliishia kua za ukweli na zilitoka vile vile kama zilivyokua kwa picha , infact actual buildings zinavutia zaidi ya picha, za Tanzania hakuna hata moja ni reality bado ni ndoto

Render
View attachment 705414

Vs Reality
View attachment 705415

Haya lete moja ya Tz
Renders za Tz zimeshatoka, labda wewe sema hujaziona kama una elewa ishu za ujenzi hauwezi uka anza bila michoro kukamilika. Ila uko umenipeleka mbali..
1520257823463.jpg
Mimi nilikua naulizia hii ni render au ni picture from China!?
 
Bado washamba sana haya mambo ya kawaida. Ni kwamba tu kwa miaka 50 tulikuwa tumesimama..
 
Back
Top Bottom