Tanzania SGR Bridges are crazy!

Mi Nasikitika tu nitakapokuwa nikipita kwenye sgr huku naona vile vibanda umiza vya shauri moyo
 
Mkuu hii ni render au picture from China
Render za SGR ziliishia kua za ukweli na zilitoka vile vile kama zilivyokua kwa picha , infact actual buildings zinavutia zaidi ya picha, za Tanzania hakuna hata moja ni reality bado ni ndoto

Render


Vs Reality



Haya lete moja ya Tz
 
Renders za Tz zimeshatoka, labda wewe sema hujaziona kama una elewa ishu za ujenzi hauwezi uka anza bila michoro kukamilika. Ila uko umenipeleka mbali.. Mimi nilikua naulizia hii ni render au ni picture from China!?
 
Bado washamba sana haya mambo ya kawaida. Ni kwamba tu kwa miaka 50 tulikuwa tumesimama..
 
Hapo wanashuka na wengine wanapanda at the same time, Na ferry ziko mbili MV Magogoni na MV Kigamboni
My point is that those ferries are small and inferior just blike yopur GDP ....Ama vipi mwana LDC?😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…