Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Please go read ....somewea else ujielimishe kuwa wali discover 1.2bn total recoveable ni 700mn barrelsThe problem you are not knowledgeable on the matata, only 30% of discovery can be siphoned from the ground, so for Kenya only expect 300barrels, too little for current price
Give me the link, am sure you don't havePlease go read ....somewea else ujielimishe kuwa wali discover 1.2bn total recoveable ni 700mn barrels
Hata kama ni 300mn that is 15bn$
You need to urgently visit a psychiatrist!Have you heard of Lappsset project??
Worth 25bn$
Ama SGR ya lappset 13bn$ mpaka addis ababa?
Ama
Titanium mines kule malindi worth 100bn$ ?
Ama 1.2bn barrels of oil already in turkana worth 62bn$
Na unajua galana itakuwainazalisha mpaka 10bn$ of refined goods??
Maaaan Shut up!!!
Unaanza kububujika!!
Tanzania mumekua na minerals toka before independence mko wapi sai??.
Ukitoa gharama zote utakuta faida ni $5-7B, hakuna kampuni kubwa la mafuta litakaloangaika na pesa hiyo, bora muachie wananchi wa Turkana wachimbe kwa kutumia sululuPlease go read ....somewea else ujielimishe kuwa wali discover 1.2bn total recoveable ni 700mn barrels
Hata kama ni 300mn that is 15bn$
Kuna mazingumzo yanayoendelea na wawakilishi wa Barick kuhusu wizi waliofanya, leo yanaingia siku ya 71 wapo hapa Dar, tunategemea kulipwa sio chini ya $100B, ninajua utasikia uchungu sana, na hutoamini kama titapata hiyo pesa, lakini deligation ya watu 24 wapo hapa kwa siku 70, hiyo inaonyesha dalili nzuri kwa TanzaniaAre you buying bombadiers in 2017
And advertising buildings with lifts in Mbeya?
Tumeshalipia Bombadier 3 cash, CS 300 tumelipia 2 Cash, na tumelipia, Boing 787 driem liner cash. Tukilipwa pesa zetu na Barick, tunajenga Bomba la gesi tunasambaza nchi nzima kwa matumizi ya viwandani na majumbani, na tunapeleka gas Uganda, Museven ameombaAre you buying bombadiers in 2017
And advertising buildings with lifts in Mbeya?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wananchi wa Turkana wajipimie kwa sululu.. hahaaa. Ths is a good oneUkitoa gharama zote utakuta faida ni $5-7B, hakuna kampuni kubwa la mafuta litakaloangaika na pesa hiyo, bora muachie wananchi wa Turkana wachimbe kwa kutumia sululu
Hayo yote sawa. Swali ni kulingana na wewe design speed ya kenya ni ngapi... ?wakenya wengi wanafikiri ikiwa electrified inamaanisha superfast, ngoja niwaambie hiyo si kweli, kuna kitu kinaitwa design speed not maximum speed, wanaangalia vitu kama curves, gradient, n.k. Na design speed huwa inakuwa determined kwenye zile sehemu korofi, sgr ya Uganda iko designed karibu sawa na kenya tofauti ni kwamba Uganda itakuwa electrified and continuously welded wakati ya kenya siyo, but interms of design speed ziko sawa pamoja na kwamba Uganda iko electrified hivyo kenya wasitegemee jipya sana interms of speed.
faida ya kuwa electrified ni kupunguza gharama za uendeshaji.
nasikia kenya wamesema wataweka umeme maana yake gharama zitaongezeka, na vilevile haiko welded nasikia watachomelea baadae maana yake gharama zitaongezeka Zaidi.
design speed is not a maximum speed, kwa kenya speed inaweza kuongezeka sehemu ambazo sio korofi mfano curves, reli inaweza kuwa designed at 120km/hr sehemu ambazo sio korofi treni inaweza kwenda hadi 140km/hr ya abiria, same to tz inaweza kwenda hadi 180km/hr but sio ile wanaosema wakenya kwamba itafika 240km/hr huo ni uongo.
Hivi bado mjajua phases kwa TZ inakuaje! By now kinacho endelea kwenye SGR yetu mlibidi muwe mmejifunza. Ninge waona wa maana mngeanzisha uzi mkituomba tuwashauri how things are happening uku siyo kuja mkitetea projects zenu zilizo kua inflated. Sasa hyo break down ya miaka kuhusu Ruvu ni yako. I think umejichanganya na Lapstock [emoji1] ya Lamu. Sasa naomba utuletee Hizo ICD zenu ulizo jitamba kuwa ni kubwa kuliko za TZ. Tukianza na hiyo ya Kisumu. Toka nikuombe link masaa zaidi ya 6 yamepita [emoji1]Phase one 30 hectares, na phase 2 watakua 60hectares...hapo tutakua tulishafika 2020, unafikiri ni lini mtafika 500, 2030????
Hiyo icd yenu iko kando na project ya SGR, inatolewa pesa kivyake, unlike our icds zimechanganywa ndani ya hiyo tender ya sgr...Hivi bado mjajua phases kwa TZ inakuaje! By now kinacho endelea kwenye SGR yetu mlibidi muwe mmejifunza. Ninge waona wa maana mngeanzisha uzi mkituomba tuwashauri how things are happening uku siyo kuja mkitetea projects zenu zilizo kua inflated. Sasa hyo break down ya miaka kuhusu Ruvu ni yako. I think umejichanganya na Lapstock [emoji1] ya Lamu. Sasa naomba utuletee Hizo ICD zenu ulizo jitamba kuwa ni kubwa kuliko za TZ. Tukianza na hiyo ya Kisumu. Toka nikuombe link masaa zaidi ya 6 yamepita [emoji1]
Aawapi pumbavu wewe gharama za SGR Kenya ni tofauti na ICD! Kila project inajitegemea financialHiyo icd yenu iko kando na project ya SGR, inatolewa pesa kivyake, unlike our icds zimechanganywa ndani ya hiyo tender ya sgr...
Eti 'hivi bado hamjajua phases kwa Tz inakuaje' haha my foot. Pale mtaanza kujenga Moro-Dodoma uje uniamshe.
View attachment 602667by now unafaa ujue tofauti kati ya kutia sign kandarasi na actual construction
Hahah ati? Unajua maana ya recovable oil? Kenya proven reserves are 600 mln barrels of which less than 300 mln r recovable. End of the story! [emoji115] [emoji23]Please go read ....somewea else ujielimishe kuwa wali discover 1.2bn total recoveable ni 700mn barrels
Hata kama ni 300mn that is 15bn$
Reli ya Tazara ilikua ni manual kabisa... Hii ni automatic inatumua makomputer... Kuna tofauti kubwa kwa diesel engine na dieles-electric hybrid engine Ambayo reli yetu inatumua... Yaani 'generator' linatumika kuzalisha umeme alafu umeme ndo unatumika kuendesha Treni.
Relevancy yako hii section ilienda na fastjet!!...pia wewe kaa korna yakoHahah ati? Unajua maana ya recovable oil? Kenya proven reserves are 600 mln barrels of which less than 300 mln r recovable. End of the story! [emoji115] [emoji23]
Kumbe haufahamu Train za Tazara ni za kiwango gani?, we unafikiri ni kama za Mjerumani za rail ya kati?, Tazara na standard ya rail yenu, Madaraja, na hata engine ni almost sawa tu,
Angalia engine za Tazara za 60s alafu tofautisha na mlizoletewa
View attachment 602669
High schoolSammuel999 uko speed sana buddy,Ni vigumu mm kuelewa kila unachoandika hapa...nenda taratibu tujifunze wote
Ulizungumzia kuhusu mafunzo shule za kenya if you dont mind mention a sec school pupil curriculums, najua mnasoma miaka 4 atleast ebu taja masomo gani mnasoma
Nafurahi umeenda ku google. Now some how uko informed kuhusu ICD's za Tz, naona umekua mpole ume shift kutoka ICD za TZ kuwa ndogo sasa hivi unasema za TZ hazipo kwenye SGR [emoji1] . Ssa kuhusu Moro-Dom ujenzi una anza next month, take it or leave it. Vipi kuhusu KISUMU google bado haija kupa majibu unayo yataka [emoji1]Hiyo icd yenu iko kando na project ya SGR, inatolewa pesa kivyake, unlike our icds zimechanganywa ndani ya hiyo tender ya sgr...
Eti 'hivi bado hamjajua phases kwa Tz inakuaje' haha my foot. Pale mtaanza kujenga Moro-Dodoma uje uniamshe.
View attachment 602667by now unafaa ujue tofauti kati ya kutia sign kandarasi na actual construction
Hamna tofauti.. labda kwenye bei. Ata interiors ni same, niliona hiyo first class yao ki ukweli nilisikitika sana. Nikawaonea huruma walipa kodi wakenya.. Sasa nashangaa wakenya wa JF wanashangilia kuibiwa.