Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Tatizo wewe hufuatilii mambo umebaki kubisha tu, sasa hayo mapesa yote yaliyotumika kufanya utafiti hadi kugunduliwa hiyo gasi huko kusini kuanzia miaka ya 1970 hadi leo unajua ni kiasi gani na nani alitoa?, Uganda unadhani waligundua lini mafuta yao, karibu miaka kumi iliyopita, ndiyo wanaanza kuchimba mwakani, huu ni mradi mkubwa unaofanywa na makampuni makubwa, nchi inatoa ardhi tu, pia miradi mikubwa kama hii inachukua muda mrefu hadi kuanza kazi, ikimaanisha hadi gasi ianze kutoka, ila nchi inaanza kufaidika kuanzia siku ya kwanza ya ujenzi kwa wananchi kupata ajira, naserikali kupata kodi mbalimbali.
 
Hilo lilijulikana Mkuu wao mpango wao ulikuwa wa treni za makaa ya mawe na diesel hiyo umeme ni mihemko baada ya kuona kwetu,nilichokiona ni roho za kichawi kuwajaa kila zuri kutaka na kuiga.
Hahaha kumbe hata nyie mliliona hili, ni kweli kabisa Habari za Kenya kubadili treni zao kua za umeme ni baada ya Tanzania kuanza ujenzi ndio wanasiasa wa kenya wakawatuliza wananchi kwa ahadi hewa cha kushangaza wao wameamini hii danganya toto
 
Wewe kweli ni tabularasa eti wafadhili, nenda katoe ujinga kichwani kwako kuhusu hii project ndio uje hapa sababu hata hujui kinachoendelea or otherwise rudi jukwaa la mapenzi sababu ndio unalimudu
 
Aisee ume-mention point muhimu sana hiyo ya uendeshaji wa reli navyomjua Mchina aliyekabidhiwa lazma atake kurudisha fedha zake. Kuifanya ya umeme si kipaumbele maana zitahitajika si chini ya $2 bln plus new electrical run locomotives na kubadilisha diesel-run (combustible) to electrical-run (electromagnetic) si rahisi hivyo. Kwa maana hiyo kama another $300 mln to $500 mln for locomotives of electromagnetic run engines.

Siku zote nawaita hawa jamaa wazee wa kukurupuka! Hupenda kutuita wazembe ila pipeline timewanyang'anya na biashara ya usafirishaji wa reli kwenda Uganda tunawanyang'anya Rwanda, Burundi na DRC tayari wako mfukoni. Navyowaona wao ni Wazembe wa kufikiri ila mabingwa wa kukurupuka.

<br />CC: <br /><b><b>nomasana</b>, <b><b><b>sam999</b>, <b>NairobiWalker</b>, <b>hbuyosh</b>, <b>msemakweli, <b>simplemind, <b>Kimweri, <b>Bulldog, <b>MK254, <b>Kafrican, <b><b>Ngongo, <b>Ab_Titchaz, <b>mtanganyika mpya, <b>JokaKuu, <b>Ngongo</b>, <b>Askari Kanzu, <b>Dhuks, <b>Yule-Msee</b>, <b>waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo</b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b></b>, <b>Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11</b>
 
Mradi wa Kenya sio wa kusadikika na wala sikusema hivyo rudia kusoma vizuri nilichoandika.

Kenya wao tayari wamesha~launch project yao. Its down onlane & ready to be used mkuu.
 
Wewe kweli ni tabularasa eti wafadhili, nenda katoe ujinga kichwani kwako kuhusu hii project ndio uje hapa sababu hata hujui kinachoendelea or otherwise rudi jukwaa la mapenzi sababu ndio unalimudu
Mradi unafadhiliwa na serikali ya Uturuki baada ya wachina kuzingua. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza mkuu.
 
Kweli kabisa uliyosema, mimi huwa ninakaa na kufikiria sana nini kinakuja kutokea mbeleni, Magufuli sio diplomatic person neither a politician, yeye ni mtendaji with very solid face, kama viongozi wa Kenya hawatastuka na kutafuta njia ya kufanya kazi na yeye kwa ufasaha, uchumi wa Kenya anaweza kuuweka kwenye very tight angle, Tanzania geographically imependelewa na Mungu zaidi Kenya, kwa sababu ukiacha Uganda, nchi zingine zote zilizopakana na Kenya ni useless, hiyo Ethiopia hata sijui siasa zake za uchumi zikoje, Kenya inaitegemea sana Uganda kuitumia Bandari ya Mombasa, kitendo cha serikali ya Tanzania kuamua kuijenga reli ya Uganda toka Port Belly hadi Kampala, ni wazi kwamba ushindani utakuwa wa hali ya juu sana, sasa kama Uganda ambayo ni tegemeo pekee kwa bandari ya Mombasa lakini Magufuli bila aibu ameamua kufanya hivyo, huku ananyenyua viwanda kama uyoga, anadhibiti madini na mazao kutoka nje ya nchi kiholela, utalii anataka wasipitie tena JKIA, hivi hali itakuwaje?. Akiamua kulitenga soko la SADC ili Kenya isiweze kulifikia kiurahisi kwa sababu bidhaa nyingi za Kenya zinatumia barabara kwenda Zambia, Malawi na Zimbabwe, uchumi wa Kenya utayumba sana.
 
Wengi unaowaona wakitetea huu mradi belongs to house of Mumbi! We chunguza 99%! Halafu utaniambia, ni fikra za ukabila mwanzo mwisho!!

BTW Magufuli hamung'unyi si uliona ban ya kupitisha mahindi ya Kenya kwa barabara toka Zambia.
 
Em nipe link au leta article huku kuonesha huo ufadhili wa Turkey kwenye SGR ya Tanzania.
bado hawaamini kwamba tunaweza jenga reli km 600 kwa pesa zetu, wao hata km 1 wameshindwa, kwa hiyo miaka mchina atayokuwa ana-operate reli ya kenya hataruhusu ushindani mwingine mpaka pesa yake irudi, wakati sisi kwetu makampuni yenye uwezo yanaruhusiwa kufanya biashara kwenye reli yetu. Na hata ikitokea ufadhili sehemu zilizobaki sidhani kama magufuli ataruhusu upuuzi huu wa kumpa mtu/kampuni ili kurudisha fedha zake.
 
Engine hutofautishwa na vitu kama HP,traction, torque na wala sio mapicha
Kwa mfano, hio treni ya kenya ya mizigo inaitwa DF11B ambayo ya kwanza kabisa iliundwa 1997!!! hio ni miaka 27 baada ya hio reli yenu ya Tazara kununuliwa China Railways DF8 - Wikipedia
 
Kutofautisha ICD za kenya na Tz ilikua nalenga kuongelea kuhusu tofauti ya bei za reli zetu, yaani moja wepo ya sababu ya kenya sgr kugarimu ni kwamba hata hizo ICD ziko ndani ya gharama....

Details za kisumu bado hazijatoka lakini initial capital ya kisumu port ni $240Million au ksh24Billion, hebu tuambie ni pesa ngapi za phase 1 zinatolewa huko kwenu
 
Reli ya Ethiopia ni 160km/hr perssenger -- GCR - News - Djibouti-Ethiopia railway opens for business
Addis Ababa–Djibouti Railway - Monopedia
Railway development in Ethiopia
China-built electric railway opens up landlocked Ethiopia - Business News | The Star Online


Sasa the thing is, pale reli ilipoletwa Kenya walifanya testing na hio perssenger locomotive pamoja na wagons zilipelekwa hadi 158km/hr .... Explain that

Hii hapa iliandikwa next to the door of the engine coach, hua inaandikwa hapo only after the train achieves that speed on that particular rail that the train is intended for

 
Hebu tutofautishe hapa

Tanzania 60s-70s
View attachment 602671

Kenya 2017
View attachment 602672
Ingia hapa unangalie treni zenu za DF4 series za Tazara za 1960s China Railways DF4 - Wikipedia


Alafu ukimaliza uingie hapa unangalie DF8 series ambazo zinatumika kenya kubeba mizigo
China Railways DF8 - Wikipedia


DF8B diesel locomotive, as the mainline freight diesel locomotive with the highest power for single diesel engine in China, is the ideal traction power for speedup of heavy mainline freight transportation. Equipped with 16V280ZJA diesel engine, JF204D synchronous main alternator and ZD109C traction motor, the locomotive has speed of more than 90km/h at maximum constant power. It was awarded “Second Prize of MOR Scientific & Technological Progress” and Jiangsu Province Excellent New Product “Golden Ox Prize”.
New technologies such as microcomputer control system, large-screen color liquid crystal display, dynamic brake unit for self-load test at full power and etc., are utilized in this locomotive. It is modern in electric control technology and excellent in dynamic performance.
 
http://www.africanews.com/2017/05/10/ethiopia-djibouti-electric-railway-begins-regular-test-run//
 
Tusifananishe na.mradi wetu ambao bado ndio kwanza unatoka kwenye karatasi na ambao unatumika
Tuwe na subira
 

Unaangaika sana kaka, hayo Makitu mliyoletewa na Wachina Yalishakuwepo Tanzania muda mrefu kaka, Nyie ndio mmefikia hiyo Hatua sisi sasa tunaenda extra miles
 
Kuhusu speed ya train, soma vizuri maelezo yangu acha kujifanya hujaelewa, nilisema kwenye train muhimu ni reli yenyewe design yake kama itaweza kuruhusu huo wendo, hata kama locomotives zinauwezo mkubwa wa kukimbia speed kali, ninadhani ulielewa vizuri ila unataka kusumbua akili yangu, hivi Tanzania ikiamua kununua locomotives zenye uwezo wa 300km/hr, na imeandikwa hivyo, utaamini kwamba hiyo ndiyo speed itakayosafiri?

muhimu ni design ya railway, how closer curvatures are, what is average radius of the curves, what is inclinations and slopes, ndivyo vitu vinavyo determine speed ya train, hata gari la kawaida hivi vinaueika sana, sema gari utaongezea mashimo, matope, mchanga, mawe na hali ya tairi za gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…