Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...πππsasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.πππ yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...πππ kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...