Tanzania SGR Bridges vs Kenyan

Huu mradi ukikamilika naamini Rais Magufuli atakumbukwa na watanzania kwa vizazi vingi.
Hongera Rais Magufuli na Waziri wa Miundo Mbinu Makame Mbarawa kwa kazi nzuri. Ni uhakika mradi huu hauna harufu ya rushwa kwani serikali ya Uturuki inapiga vita sana masuala ya rushwa
 
Hatuhitaj terminus kama zile vijijini. Kwa reli ya Dar-Mwanza, mijini kama Morogoro, Dodoma Singida, Tabora na Mwanza tu inatosha.
 
Hatuhitaj terminus kama zile vijijini. Kwa reli ya Dar-Mwanza, mijini kama Morogoro, Dodoma Singida, Tabora na Mwanza tu inatosha.
Lakini Mkuu nimesikia video Mbarawa anasema hii ya morogoro dodoma itakua na terminal 8 za abiria na 6 za mizigo acha ile ya Dar morogoro sijui ina terminal 9 pia.
 
Lakini Mkuu nimesikia video Mbarawa anasema hii ya morogoro dodoma itakua na terminal 8 za abiria na 6 za mizigo acha ile ya Dar morogoro sijui ina terminal 9 pia.
Ndio lakini hizo Terminus za vijijini kama Visiga na Ngerengere hazipaswi kuwa mahekalu bali vituo vya kawaida. Kwa maoni yangu badala yake waongeze spidi ya treni for more economical sense.
 
Ndio lakini hizo Terminus za vijijini kama Visiga na Ngerengere hazipaswi kuwa mahekalu bali vituo vya kawaida. Kwa maoni yangu badala yake waongeze spidi ya treni for more economical sense.
Sure, Mbarawa anasema mazungumzo bado yanaendelea na mikataba itasainiwa miezi michache ijayo kutoka Dom kuendelea anasema hata speed itakua 200/hr sababu ya geographical phenomenon sio challenging kama huko nyuma.

Baada ya kusainiwa hii ya pili ndio nimelata imani hii project ipo serious nadhani AfDB wataanza kuingiza pesa kwenye phases zijazo sababu hii inaonekana kuna mkono wa Turkey Exim
 
Nilishasema huko nyuma atalizwa mtu na hizi project mbili kinzani yaani Mombasa-Malaba-Kampala vs Dar-Mwanza/Dar-Isaka-Kigoma-Bujumbura/Kigali na naona hilo linaanza kujidhihirisha wazi yetu ikigonga speed 200/h nina uhakika Uganda 90% cargo watapitisha Tanzania. Aisee JUBILEE na Wachina wanawafinya Wakenya vibaya mno...
 
Hahaha Dah wachina wamefanyia umafia wa kutisha na ndicho walichokua wanataka kukifanya na Tanzania, ilikua si rahisi kumuona Magufuli akidrop ule mkataba na China mpaka ceo wa Exim China alikuja Dodoma tayari kumwaga mipesa,

Ghafla tunasikia jamaa anatangaza tenda upya, hapo ndipo nikajua there was something fishy jamaa keshakisoma, ila kama sio umakini wake hata sisi tungekua na msiba pia kama wenzetu walivyonyukwa.
 
Wacha tujenge siku moja mtu atasema anajisikia proud kuwa mwana afrika mashariki.
Ni ndoto tuu asubuhi.
 
Mi nadhani tungebadili katiba yetu kwa rais wetu huyu atawale japo miaka 20 nna imani tutakuwa mbali sana.
 
Hapa siafiki; we need Lissu et al to curb Magufuli’s disrespect of laws of the Country! So many families r homeless right now cause of Magu's ego, lack of tolerance n personal vendettas towards certain conmunities n political foes to the extent his actions undermine the Presidency itself as he stamps on the constitution that he swore to protect on October 2015.
 
Sure! Teknolojia yao ni sawa na madaraja yaliyojengwa kwenye reli ya TAZARA miaka ya 75!
Actually 1960s technology, unajua hawa watu wana ushamba wa kujikweza. Vitu vyote anavyofanya Mchina leo Kenya, alifanya Tanzania 1960s mpk hata tunnels kwa Cape Gauge Railway ambayo ni just fewer inches narrow. Ujinga ni mali yao
 
Actually 1960s technology, unajua hawa watu wana ushamba wa kujikweza. Vitu vyote anavyofanya Mchina leo Kenya, alifanya Tanzania 1960s mpk hata tunnels kwa Cape Gauge Railway ambayo ni just fewer inches narrow. Ujinga ni mali yao
Ninakubaliana na wewe, huwa wakenya wanakurupuka sana, kitu kikifanyika Kenya, hwajiulizi kwamba kuna uwezekano hiki kitu kingefanyika vizuri ya hivi, wao wanaanza kusifia, baadae wanagundua kwamba kumbe dunia ni pana zaidi kuliko walivyofikiria, sasa hivi wanafurahia hiyo tunnel inayojengwa kama vile ni kitu cha ajabu, wangekuja kuona tunnels za TAZARA zilizojengwa 1970 wakalinganisha ni hiyo yao, wangeinamisha vichwa chini
 
Kenya wamejenga tiyari sisi ndo tunaanza wabongo huwajui huenda mkandarasi ali quote kidogo ili aje aibuke na variations kibao.
Tusubiri iishe tuje tujilinganishe na Kenya.
Alafu makandarasi wakituzengua tuwapeleke mahakama ya usuluhishi watuamue tisivunje mkayaba tu
 
huwezi linganisha Yapi Merkezi na vikampuni vya Kichina, kenya waliingia cha kike
 
Wewe darasa la ngapi umeishia kutojua maana ya neno mkataba? Uache ujinga..
 
Bridge yenu kama ni hilo linakaa vizuri kabisa..pongezi kwa designers.kandarasi imetiwa saini juzi ma tayari kuna render, sijui ilichorwa lini na nani...
Anyway, kama ulivyosema kwa Nada, Tanzania bridges vs Kenya bridges, ulilo onyesha ni daraja moja tu ambalo limewrkwa suspension kwasababu barabara ya leni nne inapita na chini, kenya kuna Mahali barabara ya leni sita inapita chini ya sgr lakini hakukua na haja ya kuweka bridge ya aina hio..


Alafu hio picha ulioeka hilo si daraja la Nairobi national park, kuna kesi inaendelea kotini mpaka iishe ndo daraja la NNP lijengwe, daraja hilo litakaa maka floating tunnel



Alafu pia upande wa northern coriddor kutakua na suspesiin bridge... Kama hio hapa itakengwa phase 3C Malaba-Kampala
 
Still remains non electrified railway and it will take over $400mln to electrify Mombasa-Nairobi alone meaning for the whole SGR project to Kampala n Juba, over $1.5 bln will be needed to electrify the whole rail network.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…