Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

Hii reli mvua ya kwanza tu inabebwa na maji.
Niwambie mapemaa, sitaki kuzuiwa kucheka na kushangilia.
Hongera KENYA.
 
Haha, ndio maana madaraja na nyumba zenu za Kenya zinaaguka kila mara. Inaonekana mnaanza na kumwaga zege kabla ya maadalizi ya uhakika. Zege litakuja tuu, na kama ukitaka tukupigie ngoma siku zege likianza tutakupigia.

Kwahiyo unataka kusema SGR ya Tanzania ni gharama sawa na Kenya? Wakati nyinyi mnalala na kukoroma usiku mpaka Tanzania tunawasikia, huku wanaume tunapiga kazini.
 
Hiyo yenu tulishaijengaga 1960's huko,
In fact this have to be news to you as well,
Sababu SGR Tz is the Modern in the entire region.
Halafu hiyo picha kaweka ni chini ya ardhi ndio maana kuna taa, hapo ni mchana kweupe. Wakati wao wanalala na kukoroma, wazee huku tunatinga kazi.
 
Aliyesema ni nusu ya ile ya Kenya, ni mkenya mwenzenu wa Gazeti la Standard, kwanini hasira za kuibiwa na wachina unazimalizia TZ?
 
Huyo jamaa ana tabia za kipunga nimependa that part "at half the cost"!
 
Haki za binaadamu akina mama Bisimba wataanza kulalamika. Na akina mch. Msigwa wataanza kupinga. Subiri utaona.
 
Wewe ukija kukimbilia Tz kukilipuka huko Kenya nitahakikisha unakamatwa na kurudishwa kwenyu mara moja.
 
Huyo jamaa ana tabia za kipunga nimependa that part "at half the cost"!
Hii ni Tanzanian model, hard bargain, splits work in section, do it all at once. Bomba la mafuta watatumia same model. Tulijifunza jinsi wachina walivyo tubabaisha na bomba la gesi Mtwara - DSM. Wachina mpaka wamalize section moja ndio waanze nyingine. Nadhaani hata SGR ndio waliposhindwa kuelewana na JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…