Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

Aliyesema ni nusu ya ile ya Kenya, ni mkenya mwenzenu wa Gazeti la Standard, kwanini hasira za kuibiwa na wachina unazimalizia TZ?

Haya ya kudai kwamba mumetengeneza kwa nusu ya gharama yetu yashakua kama wimbo wa taifa kwenu, badala mkomae kutengeneza reli, mnatumia nguvu nyingi kuwapotosha Watanzania kwa kulinganisha gharama za reli zetu, wakati mkijua mnatumia uwongo.
Mimi nashauri, mfanye kazi tu, reli ianze kuonekana na hapo mtaungwa mkono na hao Watanzania, hizi propaganda za kudanganya kwamba reli yenu gharama yake ni nafuu nina uhakika Watanzania wengi hawana muda na hayo, wao wanataka kutumia huo usafiri mpya.
 
Nyie tayari mmeshaliwa na wachina bhana, wameshawadharau, na watawachezea kweli kweli, na hao viongozi wenu walivo mafisadi, more is coming. Hii issue wala usilaumu wa Tz, akina Ndii ndio walianzisha hizi hoja za your overpriced sgr compared to ours, sie tunanukuu maneno ya raia zenu.
 
fursa ya kujenga kwa saruji na nondo za misheni town.
 
Kazi kazi ucku kazi inafanyika vzr zaidi kuliko mchana mchana kuna changamoto nyingi zakupoteza muda
 
Sasa mbona hiyo yenu tulishaijenga tokea 60s au na nyie mna ya umeme? Shut up, the only one to talk with us is SA and Ethiopia
 
Kazi kazi ucku kazi inafanyika vzr zaidi kuliko mchana mchana kuna changamoto nyingi zakupoteza muda
Sio kwamba wanafanya kazi usiku badala ya mchana, ni kwamba pote usiku na mchana wanapiga kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…