Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.




 
Kwani hii ndo mara ya kwanza kuona project ikijengwa usiku na mchana nini??? Sikuhizi hata nyumba za ki binafsi zinajengwa usiku na mchana..... SGR ya kenya ilimalizika 8 months ahead of shedule unafikiri walifanya vipi, wale jamaa walikua hawana cha weekendi wala nini, wafanyikazi wanalipwa kulingana na masaa kwahivyo yeyote anayejiskia anaendeleza na wale waliochoka wanapisha wengine ...


Anyway, hii hapa Lamu port inajengwa usiku na mchana







 
Hakuna mkataba unaosema Lamu port itajengwa usiku na mchana. Picha yako inapotosha, maana kama unaelewa ujenzi utaelewa msemo ubaosema "ZEGE HAILALI", ikimaanisha lazima zege (concrete) iwekwe yote mpaka iishe lasivyo ukuta hautakuwa imara na unaweza kuvunjika (it might crack).

8 month ni kwasababu ya Jubilee walikuwa desperate kuonyesha nini walifanya katika miaka yao mitano.
 

Huu mchezo hauhitaji hasira. hivyo tupunguze povu. zege hainyeshi kama mvua lazima wanaume wakutane site kama vile ili waweke mambo sawa.
 
Sio jubelee waliofanya actual construction...... wafanyikazi ndo walifanya actual construction....... Na huo mkataba wenu wa usiku na mchana unachekesha, unafaa u sign mkataba kulingana ukiwa na deadline alafu contractor ndo ataamua atafanya nini asipitishe dealine, kama ataamua kazi inaaanza sa kumi usiku, kama itafanya na shift, ....hayo yote ni yake.... SGR yetu ukifwatia picha za pale mwanzo mwanzo walikua wanafanya kazi hadi saa tatu au saa nne usiku
 
Mwendo mzuri sana,na uyu jamaa angekuwa mkurugenzi kamili ameshakaimu vya kutosha
 
Kukoroga zege unaona kazi sana? Ndio maana wachina wakachakachua kwenu.
 
Waambieni mafundi , vibarua , na wananchi ambao wanatekeleza mradi huo au napita maeneo yao kuwa wawe wazalendo. Tabia sugu ya wizi wa mafuta(a.k.a) kupiga nyoka, wizi wa saruji na malighafi za ujenzi waache huyu ni mwekezaji mpya mturuki hajatuzoea kama wachina ambao wana mbinu mbali mbali za kuwaepuka ma alibaba
 
So unafikiri huku tafanya chini ya 24hrs. Kama maelezo yanavyosema, kazi zitafanyika usiku na mchana (24hrs) na mkandarasi (constructor) amesha weka saini na kukubali. Sio kwenye SGR tuu hata bomba la mafuta la Uganda ni hivyo hivyo, bandari ya dar wanafanya 24hrs.

Rais Magufuli amezitaka TBS, TFDA na TRA kufanya kazi masaa 24 bandarini
 
Mwendo mzuri sana,na uyu jamaa angekuwa mkurugenzi kamili ameshakaimu vya kutosha
Masanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!
 
Mambo ya 24hour economy huku kenya yalianza na serikali ya kibaki tangu 2007 Clearing Firms Excited by News of 24-Hour Mombasa Port Operations :: Uganda Radio Network
si mara yangu ya kwanza kuona project zikifanywa mchana na usiku sikuhizi ni jambo la kawaida sana! ndio maana hata sikuhizi kuna kazi zengine muhimu zimeanza kulipa wafanyikazi kulingana na masaa badala ya kulingana na siku... nashangaa eti mumeifanya hii story kama front page news
 
Masanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!
Kweli kabisa namuona ni mpambanaji sana mkuu, wangempaa ukurugenzi kamili tu
 
Ni front page maana hakuna project kubwa kama rali Kenya au EA imesha wahi kujengwa 24hrs. Mbali na yote hayo, reli yetu ni ndefu lakini itachukuwa nusu ya muda kuisha.
 
Local Maintenance crew wanazidi kupata mafunzo pale Kenya railway training institute








wanafunzi wa kenya wanaosomea taalam mbali mbali za mambo ya reli kule uchina Jiaotong university -- Wakimaliza hao ndo watakuja kushikilia msukani na kuwaondoa wachina katika operationi zote za reli ya SGR ya kenya. Garama ya mafunzo haya inalipiwa na wachina wenyewe, hii ilikua moja wepo ya makubaliano






 
Ni front page maana hakuna project kubwa kama rali Kenya au EA imesha wahi kujengwa 24hrs. Mbali na yote hayo, reli yetu ni ndefu lakini itachukuwa nusu ya muda kuisha.
Subiri ikikaribia kukamilika alafu ndo uje upige kifua.....
manake usisahau pia sisi huku timebaki na zaidi ya 500km na itafika wakati zi=ote zijengwe kwa pamoja
 
Waambie kwanza hao wakenya wa gazeti la The standard hukomkenya, kwamba kwani anaacha kuandika habari hizi wakati sasa hivimkuna habari nyingi sana na muhimu kuhusu Kenya wakenyanwangependa kusikia, hili la nusu bei kulinganisha na Diesel engine old model, slower and ugly, habari hiyo inawasaidia nini wakenya mpaka aiweke front page?, huku Tanzania sijawahi kuona gazeti likiandika kwamba, Kenya SGR, is diesel engine, low capacity, jointed railway, not full automatic ,using old technology, slower, ugly and shorter than Tanzanian, but is twice expensive, sijaona huku wakiandika hivyo, kama wewe umeona gazeti lolote la Tanzania lililoandika hivyo uniambie
 
Bado miezi 25 mradi ukamilike awamu ya kwanza...Ndio kwaanza wameanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…