Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

SGR Mliyojenga Kenya, hapa Tanzania ilishajengwa mwaka sabini. Kwetu sio vitu vya kushangaaa. Kama unabisha noo upande treni ya TAZARA.
 
Kweli kabisa namuona ni mpambanaji sana mkuu, wangempaa ukurugenzi kamili tu

Masanja Kadogosa ni Mkurugenzi wa TRL na kaimu mkurugenzi wa RAHCO. RAHCO na TRL zitaunganishwa siku si nyingi kutengeneza TRC ndio maana hali ipo hivyo.
 
Masanja Kadogosa ni Mkurugenzi wa TRL na kaimu mkurugenzi wa RAHCO. RAHCO na TRL zitaunganishwa siku si nyingi kutengeneza TRC ndio maana hali ipo hivyo.

Kadogosa namfahamu ni mchapa kazi lakini sii huu mradi upo chini ya RAHCO japo najua wanaungana.
 
Mchakato WA ajira kwenye huu mradi upoje jamani wale mnaofanya kazi huko nahitaji kupata ajira huko?
 
Usiku huwa ndio muda muafaka kwa kazi ngumu sababu huwa hakuna kuchoka
 
Reactions: Oii
Kenya wameshajenga reli yao zamani acha wapige siasa,lakini KATIBA WANAHESHIMU na wanaheshimiana.
 
Vitu vya kawaida sana hivi.
Maintenance engineers wapo kibao bongo. Instrumentation programs zina wataalamu kibao
 
Usiilinganishe nchi ya Kenya na kambi ya wasiojulikana Tanzania
 
Initoe jasho kivipi wakati leo hii tunachana mbuga zetu kwa SGR, nyie hapo wakati mnawashangaa Waturki waliovalia helmets, sisi tunapata raha huku tukisafiri kwa muundo mbinu wa kisasa.
Ya kisasa? Are you kidding? Gari Moshi hilo unaita la kisasa??
 
Soma tena ulichoandika halafu utume tena.
 
Safi sana kazi nzuri nchi inasonga mbele
....God bless you JPM ..Mwenyenzi Mungu akulinde na kukupa afya njema na hekima tuweze kuiona Tanzania mpya naamini nchi ipo kwenye mikono salama...wakati wa kuishi Dsm na kufanya kazi Moro na Dodoma unafka soon kwa speed ya Standard Gauge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…