Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

Sasa hapo mbona hatuoni zege ikikorogwa, ni mapicha mapicha tu ya jamaa wamevaa mavazi ya kazi usiku ambao hatujui saa ngapi, inawezekana mida ya saa moja usiku.
Tatizo Waswahili maneno mengiii kabla ya kuanza kazi yenyewe.

Sisi wakati tunajenga SGR tuliwajazia huku picha za wanaume wakiwa kazini, sio huu urembo mnatuonyesha hapa. Halafu mkumbuke mambo ya SGR kwetu sio habari tena kwetu, kwenu sawa maana ndio bado mnaanza kushangaa shangaa, naskia hata fly over bado mnashangaa wakati sisi tulishachoka nazo.

SGR+2.jpg
SGR Mliyojenga Kenya, hapa Tanzania ilishajengwa mwaka sabini. Kwetu sio vitu vya kushangaaa. Kama unabisha noo upande treni ya TAZARA.
 
Kweli kabisa namuona ni mpambanaji sana mkuu, wangempaa ukurugenzi kamili tu

Masanja Kadogosa ni Mkurugenzi wa TRL na kaimu mkurugenzi wa RAHCO. RAHCO na TRL zitaunganishwa siku si nyingi kutengeneza TRC ndio maana hali ipo hivyo.
 
Masanja Kadogosa ni Mkurugenzi wa TRL na kaimu mkurugenzi wa RAHCO. RAHCO na TRL zitaunganishwa siku si nyingi kutengeneza TRC ndio maana hali ipo hivyo.

Kadogosa namfahamu ni mchapa kazi lakini sii huu mradi upo chini ya RAHCO japo najua wanaungana.
 
Mchakato WA ajira kwenye huu mradi upoje jamani wale mnaofanya kazi huko nahitaji kupata ajira huko?
 
Kenya wameshajenga reli yao zamani acha wapige siasa,lakini KATIBA WANAHESHIMU na wanaheshimiana.
 
Local Maintenance crew wanazidi kupata mafunzo pale Kenya railway training institute

RhTs3Fr.jpg

TBWCQIF.jpg






wanafunzi wa kenya wanaosomea taalam mbali mbali za mambo ya reli kule uchina Jiaotong university -- Wakimaliza hao ndo watakuja kushikilia msukani na kuwaondoa wachina katika operationi zote za reli ya SGR ya kenya. Garama ya mafunzo haya inalipiwa na wachina wenyewe, hii ilikua moja wepo ya makubaliano

njtkAgr.jpg

i7exFlI.jpg

LQYKcay.jpg


YzhsAUF.jpg

CjRObYe.jpg
Vitu vya kawaida sana hivi.
Maintenance engineers wapo kibao bongo. Instrumentation programs zina wataalamu kibao
 
Usiilinganishe nchi ya Kenya na kambi ya wasiojulikana Tanzania
 
Initoe jasho kivipi wakati leo hii tunachana mbuga zetu kwa SGR, nyie hapo wakati mnawashangaa Waturki waliovalia helmets, sisi tunapata raha huku tukisafiri kwa muundo mbinu wa kisasa.
Ya kisasa? Are you kidding? Gari Moshi hilo unaita la kisasa??
 
Wee bonge la pimbi kweli kweli kumbe... Kenya ina husiana na nini humu kama sio ushabik wako maandazi ni kitu Gani humu ati?
Mwenzetu Uhuru kesha ya maliza hayo kitambo alafu unataka ku competition nawe... Plus na roho
Mbaya uliyo nayo juu ya Uhuru.. Bora upige kimya tu fanya yako Wachana na Uhuru hamuwez hata Kidogo... Is got Golden heart [emoji813] Uhuru.. Is another levels kabisa... Pambana na hali yako wee vp bana... Aibu tupu
Soma tena ulichoandika halafu utume tena.
 
Safi sana kazi nzuri nchi inasonga mbele
....God bless you JPM ..Mwenyenzi Mungu akulinde na kukupa afya njema na hekima tuweze kuiona Tanzania mpya naamini nchi ipo kwenye mikono salama...wakati wa kuishi Dsm na kufanya kazi Moro na Dodoma unafka soon kwa speed ya Standard Gauge
 
Back
Top Bottom