Mtanzania Mzawa
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 401
- 405
Fatilia vizuri utajua tofauti ya hiyo waliyojengewa na mchina na hii ya Tanzania inayojengwa na Mzungu kuanzia gharama na Ubora. ..mzgo wao umeanza kua white Elephant. ..upgaji na siasa vilitawala mradi wa KenyaKenya wameshajenga reli yao zamani acha wapige siasa,lakini KATIBA WANAHESHIMU na wanaheshimiana.
Reli yetu haijajengwa,iweje tuifananishe na ya kenya inayofanya kaz?Tusubiri kwanza.Fatilia vizuri utajua tofauti ya hiyo waliyojengewa na mchina na hii ya Tanzania inayojengwa na Mzungu kuanzia gharama na Ubora. ..mzgo wao umeanza kua white Elephant. ..upgaji na siasa vilitawala mradi wa Kenya
Ya kisasa? Are you kidding? Gari Moshi hilo unaita la kisasa??
Oh ok sawa nimekusoma mkuuMasanja Kadogosa ni Mkurugenzi wa TRL na kaimu mkurugenzi wa RAHCO. RAHCO na TRL zitaunganishwa siku si nyingi kutengeneza TRC ndio maana hali ipo hivyo.
Wewe umemjulia wapi?Kadogosa namfahamu ni mchapa kazi lakini sii huu mradi upo chini ya RAHCO japo najua wanaungana.
Huyo mungiki kwa kimbelembele humuwezi.Wewe umemjulia wapi?
Wewe umemjulia wapi?
Reli yetu haijajengwa,iweje tuifananishe na ya kenya inayofanya kaz?Tusubiri kwanza.
Bagamoyo road ile pale from Mwemge to tegeta haina hata miaka 10 leo imeumuka
Mkataba wa hiyo bandari una walakini sana kwanza una kipengele kinachosema kua bandari za Dsm na nyngnezo haztaruhusiwa kupanuliwa au kuboreshwa katika kipindi cha miaka flan ambacho Bandari ya Bagamoyo itakua inafanya kazi lakin pia kulkua na makando kando kibaoIsiishie njiani akija mwingine imekwama kama ilivyotokea kwa Bandai ya kisasa kubwa kuliko zote Africa ya bagamoyo sijaisikia tena tangu aje huyo
Swali kwako:Niambie iliko SRG ya Tanzania....Go to the point tunazungumzua SRG mambo ya barabara ata Kenya zmeumuka kuliko Bongo ..hzo zilijengwa kwenye awamu watu wanayoisfia cz walkua wanavuta deal bila kulipa kodi tuongelee mirad ya awamu ya 5
SGR ya Tanzania Mkandarasi ndio yupo site na ela yote ipo ya kazi what's the problem kwan...kuna maeneo maalum kwa akili na yasiyo na akili dunian?Swali kwako:Niambie iliko SRG ya Tanzania....
Usiwe na akili kama umezaliwa Chattle
hehehe hiyo sweep ni kali😀Jamaa ushaishiwa, kuna kipindi ulikua kidogo unajitahidi kwenye hoja humu, ama unazeeka.
Hadi mlete picha za zege ikikorogwa, hayo mengine yatabaki kuwa stori, nakumbuka mlituzungusha sana na mapicha ya kihivi ya kuonyesha sura kipindi kile cha bandari ya Bagamoyo.
Halafu SGR yenu gharama yake sio nusu ya Kenya, haya tuliyajadili huku kwa kina na mahesabu yakadadavuliwa balaa, lakini kwa jinsi huwa mlivyo, mkikaririshwa huwa hamuachi.
Tunawapongeza sana wenzetu wa Kenya kwa kutangulia, mmetuonesha njia kwenye SGR na sisi ndugu zenu tunafuata, tupo slow kuliko ninyi lakini tutafika tu. However, we have to keep in mind that the most important thing is not only the SGR but the type of SGR in terms of cargo carrying capacity, speed, cost as well as type of energy used to run locomotives and the negative impact of the energy used to the environment/society. Sina uhakika kwakuwa sijafanya utafiti ila nimesikia kuwa SGR yenu Wakenya kuwa ni ya kizamani kwa maana kuwa inatumia diesel kitu ambacho kimepitwa na wakati, maximum speed ni 90km/hr, uwezo wake wa kubeba mzigo ni mdogo na gharama yake ni zadi ya SGR inayoendeshwa na umeme, hivyo vyote ni opposite to theone that TZ is constructing. Vipi ndugu yangu mpendwa umeshawahi kufanya utafiti juu ya hili na kupata majibu kuwa ni kweli au si kweli, tueleze basi tuelewe. Asente jirani.
Mada kama hii inafanya nini Kenya section? Mada imeletwa kichokozi, lazima nao watuchokoze. hate the game!Elewa mada kwanza kabla ya kukurupuka.
that is neither here nor there!Mbona unakuwa muoga hivi? Wakenya ni watu wa kuwaogopa kweli?