Ushaanza ?Huu uzi mbona hauna wachangiaji wengi? Anyway kazi nzuri inatia moyo... Big up.... Wakaze buti tu....
Hii kitu ni shida watu wameadvance sasa wanafikiria trni ambayo ina speed of lightWenzetu ulaya wanakuja na hii: Hyperloop ina speed ya 1,200 km/h
Ni nomaHii kitu ni shida watu wameadvance sasa wanafikiria trni ambayo ina speed of light
Sent using Jamii Forums mobile app
mbeya-dar kwa saa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutapika kwake sio mchezo hio kitu...... speed kama ndegeWenzetu ulaya wanakuja na hii: Hyperloop ina speed ya 1,200 km/h
Speed ya ungo hii sasaWenzetu ulaya wanakuja na hii: Hyperloop ina speed ya 1,200 km/h
Yaah inajengwa Dubai.Speed ya ungo hii sasa