Tanzania SGR Ujenzi reli ya kisasa ya Tanzania

Wenzetu ulaya wanakuja na hii: Hyperloop ina speed ya 1,200 km/h

Toka lini Ulaya wamekuwa wenzako. Maendeleo siyo kujilinganisha na wengine bali ni namna gani unafanikiwa kutatua matatizo yako kwa wakati husika. Hata sisi itafikia kipindi tutahutajikuta hizo lakini sio sasa koz hatuna hitaji hilo.
 
Duh aisee haya mkuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
safi sana....naona mambo yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…