#SGR-TZ,Eneo maalumu la kuanda kokoto lililopo soga, kokoto zinazoenda kumwagwa kwenye tuta la reli
Aisee hapo juu ndio wanatandika reli?#SGR-TZ, Muonekano wa moja ya tuta la reli na ujenzi wa makalvati
SGR (@sgr_tz) | Twitter
Tuta limetulia kama barabara vile...
Kipande cha kwanza cha Daraja la treni ya kisasa tayari kimewekwa, kazi ya kuweka vipande 100 vingine ili kukamilisha daraja litakalotokea Stesheni ya Dar es Salaam hadi Ilala inaendelea usiku na mchana.