Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #201
No mawe ya Sanilu Laizer ni jiwe la Tanzanite ya Mererani, hili jiwe ni Ruby ya Longido, haina thamani sana kivile, hivyo ili kuiongezea thamani, wakatengeneza certificate of origin fake kuonyesha ni ruby ya Dodoma. Wakatengeneza certificate of valuation fake kutoka Italy.Mzee ulitoka nchini miaka 11 iliyopita. wakati hayati JPM akiwa bado ni waziri. Na ipo mizigo iliyomtajirisha Laizer mmasai wa Arusha, hatuna uhakika kama hilo jiwe ni mmojawapo ya mawe hayo.
No linasaidia kujua udhaifu wa huko nyuma, yaani wajanja wanaweza kutengeneza certificate of origin fake za madini na watu wakapigwa!. Hili jiwe ni fake, certificate of origin ni fake, certificate of valuation ni fake na ndio sasa liko sokoni!.Kwamba unaweza kuchota na kuondoka pasi kujulikana?.
Matapeli ni hao wanunuzi wa Dubai?.No mawe ya Sanilu Laizer ni jiwe la Tanzanite ya Mererani, hili jiwe ni Ruby ya Longido, haina thamani sana kivile, hivyo ili kuiongezea thamani, wakatengeneza certificate of origin fake kuonyesha ni ruby ya Dodoma. Wakatengeneza certificate of valuation fake kutoka Italy.
P
Mkuu King Kisali , kwanza sii kweli huku kwenye mbogamboga hakuna msafi hata mmoja. Wasafi tupo wengi tuu, na Mama ni mfano hai Uchaguzi 2020 - Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...P kijani kibichi hamna msafi hata mmoja , P endelea tu kuwapigia debe na kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu, mpaka maccm menzio yaimalize hii nchi.
No matapeli sio hao wanunuzi wa Dubai, mpaka hapa tulipo, hao wanunuzi wa Dubai hawajui kuwa hiyo ruby yao ni fake, wao wanajua ni genuine ndio maana wanauza openly.Matapeli ni hao wanunuzi wa Dubai?.
Good but...No linasaidia kujua udhaifu wa huko nyuma, yaani wajanja wanaweza kutengeneza certificate of origin fake za madini na watu wakapigwa!. Hili jiwe ni fake, certificate of origin ni fake, certificate of valuation ni fake na ndio sasa liko sokoni!.
P
Umeongea point kubwa sana na jambo la msingi sana. Ili tuweze kuinuka kiuchumi ni lazima tulinde rasilimali zetu, Leo hii nchi zote zilizoendelea huwezi kuona watu wanacheza na rasilimali zao.Dunia ina umafia mwingi saaana..
Biashara ya madini inamilikiwa na cartels fulani ambazo zina matawi kila mahala na zipo kuhakikisha maslahi ya mabwanyenye yanastawi.. Kudeal na huu umafia kunahitaji akili kubwa zaidi ya hizi akili za kina Joti na Mpoki...
DRC ni nchi kubwa sana yenye madini kila mahala lakini ukiwa pale Lubumbashi aka Katanga province utakuta raia wana njaa na umasikini japo huko polini mamafia wa dunia wanakamua watakavyo midege ikitua na kuruka
Kifupi nchi imetekwa na wahuni ndio wanaimiliki.
Tanzania iko mikononi mwa wahuni toka enzi za uhuru, madalali wa hao wahuni tuko nao tunaishi nao na wengine tunaamini kama ndugu zetu but they are here purposely, Kupitia hao madalali ndio hata uongozi wa juu na maeneo nyeti wanapatikana watu.... Kuvuka hiki kikwazo na kuukata mnyororo wa wahuni huhitaji demokrasia bali unahitaji kiburi, unyama, kutojali na ukatili mwingi, ukiwavuruga ndipo utapata nafasi ya kuset na kuokoa maslahi ya Taifa...
Watanzania kwa kupenda maisha mazuri mepesi wamegeuka maagent wa cartels na kusaidia ustawi wao pale penye ugumu, Cartels hizi zimejipenyeza Kanisani, misikitini, Kwenye vyama vya siasa na kila penye influence ili kulinda maslahi yao kila yanapoingiliwa..
JPM alisema kweli vita ya kiuchumi ni vita mbaya!. Unaweza kukuta waliomtoa roho sio karma ya matendo yake bali ilikuwa ni lazima aondoshwe ili kupisha njia. Kuna vitu tulivisema humu kama utani, vikaja kutokea.Umeongea point kubwa sana na jambo la msingi sana. Ili tuweze kuinuka kiuchumi ni lazima tulinde rasilimali zetu, Leo hii nchi zote zilizoendelea huwezi kuona watu wanacheza na rasilimali zao.
Ila shida ni Nani atamfunga paka kengele?
Mama Samia akitaka kuona uraisi mgumu basi aanze kudeal na hao cartels.
Kima wwWacha ya ngoswe tumwahie ngoswe mwenyewe
Nigeria ni nchi ya 3 wao wanazalisha mafuta lkn rasilimali za mafuta hazikoUmeongea point kubwa sana na jambo la msingi sana. Ili tuweze kuinuka kiuchumi ni lazima tulinde rasilimali zetu, Leo hii nchi zote zilizoendelea huwezi kuona watu wanacheza na rasilimali zao.
Ila shida ni Nani atamfunga paka kengele?
Mama Samia akitaka kuona uraisi mgumu basi aanze kudeal na hao cartels.
Thanks.Nakujuwa vzr mbn
Mdau
Ova
Kwa Uncle MK!Mkuu mrangi, neno magorofani drive in, umenikumbusha mbali!.
Wewe utakuwa unanijua haswa, heshima mbele.
Asante.
P
Duh...!. Mkuu fundimchundo!, That is the base kabisa!. Kumbe watu humu mnatufahamu hadi home!. Tuwe tunatambulishana utakuta mtu unamtukana kumbe ni mtu wako kabisa.Kwa Uncle MK!
Hizo ruby zinapatikana sahivi?Ruby grm 1 fanya 80mln
Hizo kg zna toa grm ngpi vile
Ova
Winza production ndgHizo ruby zinapatikana sahivi?
Kuna migodi inatoa ruby sahivi?
We nlikosakosa kukupiga hahaDuh...!. Mkuu fundimchundo!, That is the base kabisa!. Kumbe watu humu mnatufahamu hadi home!. Tuwe tunatambulishana utakuta mtu unamtukana kumbe ni mtu wako kabisa.
P