Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Ruby grm 1 fanya 80mln
Hizo kg zna toa grm ngpi vile

Ova
Hao wanakuza issue hamna ruby ya longido bei hiyo,jamaa ukienda kwake longido anamawe mpka kg 10 ya ruby ila bei ni ndogo...waende kwa laizer mzigo uko wa kutosha sio kutufunga kamba za 120bn
IMG_20220422_114944.jpeg
Screenshot_20220422-115006_Twitter.jpeg
 
Katika bandiko lako sijaona ni mwaka gani lilichibwa. Shida kwangu ni kwamba chini ya 2016. (Nikiamanisha kabla ya Magufuli), Market ya madini ilikuwa black market. Hivyo madini mengi yalichimbwa na kuuzwa bila mifumo ya serikalini kujihusisha . Maduka mengi ya wanunuzi wa gemstone ( madini ya Vito) kwa dar yalikuwa Kinondoni na hakuna Uthibiti wa serikali dodoma yalikuwa mpwapwa kwa wingi na kusini yalikuwa Tunduru na Songea sehemu zote za ununuzi serikali ilikuwa imesinzia. Ukizungumuzia Winza mining area uchimbaji wa Ruby ilifanyika Kati ya 2007 Hadi 2013 diyo pakawaka zaidi baada ya hapo pakawa kawaida. Kipindi hiki chote serikali ilikuwa imesinzia.
Kunamadini mengi serikali haikunufaika mfano mwingine ni Spinel from Empanko Mahenge Morogoro hili ni jiwe la 52kg lilinunuliwa tsh16billion na mlanguzi wa kiisilaeri Malapa hapa dar na kwenda kuuzwa tsh21billion serikali haikupata chochote pia Soma hapo kwa maelezo zaidi Gem Hunting in Mahenge & Tunduru Tanzania • Downtown.
Mambo ni mengi wakati mchache.
Magufuli alifaulu kututoa kwenye black market na kutuleta kwenye open market but it seems we are going back again.View attachment 2196686
Mkuu umemaliza yote hii issue haiko sawa haijulikani limechimbwa wapi,pili ruby ya longido haina bei na rangi haijaiva...ruby ua winza sijui rangi ila bado haiwezi kua na hiyo thamani waliosema,tunalishwa matango pori
 
Hili jiwe liliibwa kipindi cha JK miaka kumi nyuma. Sasa hivi JK anazunguka USA, ulaya kama Hana akili nzuri, kuna mambo mazito yanakuja kuangamiza taifa kwa kupitia huyu jamaa stay alert. Especially kwenye madini.

IMG-20220423-WA0003.jpg
 
Hakuna sheria iliyovunjwa. Mchimbaji aliuza Jiwe lake na akalipwa na mnunuzi akalisajili Jiwe na kupewa certificate na ndio maana origin ya Jiwe hilo ikajulikana.
Sasa hiyo tume ikienda huko Dubai itakwenda
kutafuta nini kisichojulikana?
Taasisi zenu zina wa lakini na suluhisho la udhaifu huu ni kuwa na taasisi zitakazuia mapungufu haya yasitokee na hilo linawezekana tu tukipata katiba mpya!
imelipwa kodi sh ngapi? unadhani madini yanauzwa kama maandazi? lazima kodi ilipwe kabla ya kuuzwa!
 
Tulieni yule mmarekani wa Dubai kakubali kutoa kishika uchumba cha dola 20m, mazuri yanafuata
 
Hii Rubi ilitoroshwa nchini kabla ya 2005, hata JK hajawa rais.
P
Kuna thread moja niliyi iona leo JF kwa mujibu wa Waziri Biteko anadai likitoroshwa miaka 11 (2011) iliyopita na wanayo majiwe mengine 25 yenye uzito tofauti na yote yametokea Tanzania.

Tuwe wapole kwani hayo mawe ndio Baba Jen.
 
Serikali inakuwa taasisi pale tu kila mmoja kwenye taasisi hiyo ya serikali anapotimiza wajibu kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi na kwa maslahi ya nchi.......Kinyume chake na hapo hiyo serikali haina tofauti na kikundi cha wahuni.........

Hili tukio la Rubi ni muendelezo matukio yanayodhihirisha udhaifu kama sio uzembe wa taasisi tunayoiita serikali.........

Na kwa namna ilivyo credibility za watawala wetu Kuna asilimia kubwa kuwa hii ni inside job ndani ya serikali kupitia kwa tuliowapa mamlaka ya kutuangalizia rasilimali zetu......

Huu ni mfumo mbaya kwenye serikali au nchi ambayo inajipambanua kuwa inapigana kujitegemea.......

SHAME.....SHAME......SHAME.....SHAME.....
kama kitengo cha uhamiaji wanatoa stika feki kuna tass gani ambayo haipg dili tatizo wafanyakazi wa serikal wana ubinafsi
 
Wanabodi

Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.

Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu hii Ruby, Swali ni Tanzania tutaendelea kufanywa ni "Shamba la Bibi" hadi lini?!. Hii Burj Alhamal Ruby ni Yetu!, Iweje Iko Sokoni Dubai, lakini serikali yetu haijui chochote?!.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa nafsi yako yote na kuilinda na kuitetea kwa moyo wako wote, kwa nguvu zako zote, na kwa uwezo wako wote, na ikibidi kuipigania, uwe tayari kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!.

Uzalendo wa kweli hukaa ndani ya mtu, hauonekani kwa macho, bali hukaa moyoni, hivyo kuna watu ukiwaangalia kwa juu juu at face value kwa jinsi wanavyo onekana, wanaonekana kama ni wazalendo, lakini in reality sio wazalendo lolote wala uzalendo chochote, bali ni wapigaji, na baadhi yao ndio mafisadi wakubwa!. Wamejivisha ngozi ya kondoo ya uzalendo,Ila kwa ndani ni mbwa mwitu, fisi, Chui.

Na kuna watu ni hohe hahe, masikini wa kutupwa, wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, lakini wana moyo wa upenda wa dhati kwa taifa lao na ndio wazalendo wa kweli wa taifa hili, Mimi ni mmoja wa wazalendo hawa.

Ukiona kuna kitu serikali yako imeshindwa na wewe unaweza kusaidia, saidia tuu usingoje uombwe, na nilivyofanya huko nyuma, na ndicho ninafanya hapa.

Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na wasiojulikana, serikali yetu ilishindwa kuwapata, mimi ni miongoni mwa tuliojitolea kuisaidia serikali yetu kuwabaini wasiojulikana hawa,

Kwenye ulinzi wa Rasilimali zetu, kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na kilio cha kufanywa shamba la bibi kwa manyang'au kutuibia Rasilimali zetu as if hazina mwenyewe!.

Hivi ninavyoandika hapa, kuna jiwe la kito cha thamani aina ruby kutoka mgodi wa ruby wa Winza kule Dodoma, lenye uzito wa kilo 2.8, ambalo limechimbwa na Mchimbaji mdogo, serikali haijui, Mchimbaji huyo haijui thamani yake hivyo ameuza bei ya kutupa, serikali haijui. Mnunuzi kaliondoa nchini kinyemela serikali haijui. limeuzwa serikali haijui, mnunuzi kaliuza kwa tajiri wa Kiarabu, serikali haijui. Tajiri wa Kiarabu kalibatiza jina la Burj Alhamal Ruby, serikali haijui.

Sasa Burj Alhamal Ruby liko sokoni Dubai, likisubiria mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan uishe, lipigwe mnada, serikali haijui!.
Mbunge Mhe. Danstan Kitandula, anauliza Bungeni kumuuliza Waziri wa Madini kuhusu jiwe hili, Waziri wa Madini anashanga na yeye kusema serikali haijui Ila na wao wamesikia mitandaoni!.
Serikali sio mtu ni Taasisi, ina jicho kali linaona kila mahali, ina mkono mrefu unafika kila kona, hivyo katika hali ya kawaida, haiwekani haya yote yatokee Tanzania!, tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Kwa vile sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa "the world of information world" kila kitu ni kwenye ncha za vidole vyako, kuisaidia serikali yetu ipate PA kuanzia, hizi ni data zote za jiwe hili akiwemo mmiliki.
View attachment 2196654
Huyu jamaa Steve Ulatowski, ndie mtaalamu wa Madini ya ruby aliyepima properties za jiwe hili, akiwa na mmoja wa wachimbaji wa ruby sasa analisagia kunguni jiwe letu la Dubai ili mnada usifanyike kwasababu hilo jiwe limepigwa!.

Burj-Alhamal-1024x891.png

Buyer Beware: Closer Examination of the Burj Alhamal Ruby Casts Doubt on its $120 Million Valuation​

by Jeffery Bergman, AGA ASG, BDC-BGC SSEF
April 21, 2022
An astonishing record-breaking rough ruby of 8,400 carats, weighing 2.8 kilograms, from Winza, Tanzania has gone on display at the Waldorf Astoria Dubai International Financial Centre. According to Patrick Pilati, a director of the company that owns the ruby, SJ Gold & Diamonds of Dubai, said it is one of the largest rubies in the world and is valued at approximately $120 million. As the company’s crown jewel, they have named it ‘Burj Alhamal’.

Is the Burj Alhamal really worth $120 million? Photo attribution: The National.
However, a closer examination of the stone casts doubt on its estimated valuation. A closer look at the details reveals the stone may not be what it seems. For example, a 5.00 carat stone weighs about 1.00 gram. Therefore, a 8,400 carat stone would weigh approximately 1.68kg, not 2.8 kilograms. Second, several rough ruby-in-zoisite specimens 5 to 10 times larger have been documented. Third, rubies from Winza are not found in zoisite. The stone is likely from Longido, Tanzania. Finally – and most importantly – current valuations for ruby-in-zoisite specimens do not support the estimated $120 million valuation for the Burj Alhamal.
So, what could the Burj Alhamal really be worth? Steve Ulatowski of New Era Gems is an expert in ruby-in-zoisite specimens. He has sold a substantial amount of this material at the going rate of around US$350 per kilogram, including the approximately 3kg specimen he is holding in the photo below. “Maybe US$1200 if we were lucky…wholesale, most likely [this would sell for] $750.”
Steve Ulatowski with a miner in Tanzania. ©Travis Lejman

New Era Gem’s table at Tucson 2022 selling ruby-in-zoisite specimens from Longido, Tanzania for $350 per kilogram.
Another example that undermines the extraordinary valuation of the Burj Alhamal is the 2 kg ruby-in-zoisite specimen named the “Gem of Tanzania.” It was initially valued at £11m (US$14.35m) and owned by UK Wrekin Construction. The company used the valuation of the stone to help prop up its balance sheet. Forced into bankruptcy, the court-appointed administrators Ernst & Young declared the 2kg stone’s £11m valuation and its accompanying documents as forgery. With 60 offers, it was eventually auctioned for a mere £8,000 (US$10,400), leaving creditors with massive losses exceeding £45m (US$58.7m).
But there’s still more evidence that points to an inflated valuation for the Burj Alhamal. A 228,000 carat (45.6kg) ruby-in-zoisite specimen offered by Bonhams in Los Angeles on 20 May 2014 carried an estimated value of US$100,000-$150,000. This enormous ruby specimen is 16 times larger than the “Burj Alhamal.” It failed to sell at the Bonhams auction. In other words, bidding did not reach the minimum estimated value of US$100,000 (or US$2,200 per kilogram).
Instead, the Bonhams stone, which the listing states was carved from a “single specimen of Tanzanian ruby rough” by a famous Idar-Oberstein carver, had a finished weight of 0.85kg and sold at auction for $13,200 or $15,500/kg. This is another great price/value comparison to the Burj Alhamal which, from its photos, is likely of similar or lesser quality. The National photo of Burj Alhamal shows that the stone may only be about 25% ruby and 75% zoisite. This means the actual ruby content is about 0.7kg – considerably less than the 0.85kg of the Bonhams carved toad.
Several other Bonhams auction records demonstrate that you can purchase ruby-in-zoisite specimens for a few hundred dollars.

New Era Gems website offers a 2.92KGS ruby-in-zoisite specimen for US$700.
The 2.8kg (or 1.68kg?) “Burj Alhamal” is only one of the gems in the SJ Gold & Diamonds Callisto collection, which includes 12 rough rubies that weigh a total of “an astonishing 236,000 carats” according to Tariq Saeed, writing for Dubai’s Periodical Today news website.
SJ Gold & Diamonds should pay closer attention to auction records when publishing any eye-popping valuation of the stones in its collection. Otherwise, experience from the likes of the Gem of Tanzania will dictate the obvious next question: “Why?”
Kwa kuwasaidia wenzangu na mimi ambao hizi lugha ni lugha za watu.

Kwa mujibu wa mtaalamu wa miamba ya madini, anasema japo hili jiwe la hii Ruby limeingizwa soko la kimataifa Kwa makaratasi ya kuonyesha limechimbwa mgodi wa Winza Dodoma, hizo karatasi ni forgery, hili jiwe limechimbwa Longido Arusha, na Mchimbaji mdogo, ambaye hajui thamani ya jiwe hilo, hivyo alishikishwa kidogo dogo cha pesa mbuzi , kwake akaziona nyingi. Jiwe likaondoka Longido.

Ili jiwe liweze kuingia masoko ya kimataifa, ni lazima lisajiliwe na kupatiwa certificate of origin, hivyo ukatafutwa mgodi wa ruby ambao uko tayari ku issue that certificate, and that where mgodi Winza huko Dodoma ulipoingia ukatoa face certification ili mzigo uingie Sokoni. Jamaa wakalipwa chao, wakaingia front kuwa jiwe ni Lao, wakaliandikia certification, na sijui kama kodi za serikali zilipwe ndio maana serikali haijui!.

Hawa mgodi wa Winza, walifanya kosa moja tuu, walipima uzito bila kupima properties na kulisajiji kuwa wamelichimba wao. Hilo jiwe lina properties za kitu kinachoitwa zoisite, ambacho kinapatikana Longido tuu!, iweje ruby ya zoisite ipatikane Dodoma?.

Ni kama jiwe la Tanzanite kinapatikana Mererani pekee, lakini muuzaji mkubwa number 1 wa Tanzanite ni India akifuatiwa na Africa Kusini, Tanzanite inapatikana Mererani pekee nchini Tanzania, hiyo Tanzanite ya India inayoongoza Duniani na Africa Kusini, inatoka wapi?.
Historia ya Jiwe Hili.
Japo mwaka halisi hautajwi Ila jiwe hili lilichimbwa miaka ya nyuma enzi za Mkapa, na kuuzwa nchini Uingereza kabla ya Mwaka 2005.

Mwaka 2007 ndipo sarakasi za jiwe hili zilipoanza na kuropotiwa na gazeti la This Day na mitandao wa Jamii Forum

Hiyo Ruby itakuwa ilichimbwa Longido enzi za Mkapa. Ikanunuliwa na mlanguzi, Mchimbaji atakuwa alipewa peanut!. Kwa vile sasa inatangazwa hivi, Mchimbaji wake kama yuko hai, atajitokeza.

Baada ya kuibiwa Longido, ili iweze kuingia sokoni ni lazima ipate certificate of origin, hivyo mwizi yule akaipeleka Dodoma kwenye mgodi wa Winza for certification, ili ionekane imechimbwa Dodoma, hivyo, kama ni kweli Winza walitoa certification, watakuwa walishikishwa kidogo dogo, wakatoa certificate fake ikionyesha ni Ruby ya Winza na kuingizwa sokoni. Ila pia inawezekana kabisa hata hiyo certificate of origin sio genuine ni fake, hivyo Winza hawakufanya certification yoyote nawajui lolote wala chochote bali ni utapeli mtupu!.

Mnunuzi wa kwanza aliipeleka hili jiwe Italy na kufanikiwa kupata valuation ya The institute of Gemmological in Italy on August 31, 2007 ikionyesha ndio tarehe ya valuation hiyo ikionyesha Ruby hiyo inathamani ya £. 11m za Uingereza.

Msemaji wa the institute of Gemmological cha Italia, Bi Loridana Prosperi, amekanusha taasisi yake kufanya uchunguzi wowote wa jiwe hilo, na kwenye kumbukumbu za kiofisi, hakuna taarifa yoyote juu ya kito hicho, na akasema Kwanza, Taasisi haifanyi uthamini wa jiwe lolote, bali unaangalia properties. Tarehe ya barua hiyo ya August 31,2007, ilikuwa ni public holidays, ofisi haikufunguliwa, hivyo barua ya uthamini wa jiwe hilo ni barua fake. And she claimed her company never assessed the price of gemstones, only the quality .

Bila kujua taarifa hizo ni fake, kampuni ya Tamar ya Uingereza, ikadanganya kuwa imelinunua jiwe hilo Kwa £. 11m, na kuwauzia Wrekin Construction.

Sijui jiwe hilo fake, lilipitia mikono ya watu wangapi kabla halijatua kwa Tajiri wa Kiarabu, akalibatiza jina la na sasa liko sokoni watu wakitaka kupigwa!.

Tanzania tunaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Wasalaam

Paskali​

Paskali nimekupa like hapo umeiona!!??? Watu kama nyie ndio hasa wanatakiwa ktk nchi hii ila bahati mbaya mmezaliwa katika nchi ambayo trending stories ni Masha love,Juma Lokole stories,Mange kimambi na upuuzi kama huo...Lakini kitu ambacho kilitakiwa kiwe mjadala kama hilo jiwe hapo ni habari isiyopewa kipaumbele kabisa kwenye nchi hii
 
Tumefika hapa,na tunaendelea kufanyiwa ujanja ujanja sababu ya CCM, acha tuendelee kufanyiwa tunayofanyiwa kama vipofu
 
imelipwa kodi sh ngapi? unadhani madini yanauzwa kama maandazi? lazima kodi ilipwe kabla ya kuuzwa!
How do you issue a certificate without valuation? Kodi hulipwa on the basis of the value of the gemstones. Utaratibu ikoje wa kutoa certificate? Certificate hutolewa baada ya kodi kulipwa.
 
Mkuu pascal Mayala kama twiga aliweza kupanda ndege na kutoroshwa inakuwaje unashangaa jiwe la kilo mbili kutoroshwa?
Mkuu The lost , nikurekebishe, wale Twiga, hawakutoroshwa!, kuna mtu alipewa zawadi hao Twiga, ila ilikuwa iwe discreet, ndio maana wakabebwa usiku wa manane. Kwa bahati mbaya kuna wambea waliona ndio wakapiga kelele, sasa ili kuzima soo ya mtu kutoa zawadi ya nyara, ikabidi maofisa wazuge hao twiga wameibiwa!. Ukweli ni kuwa hao twiga wawili, jike na dume,hawakuibiwa, kuna mtu alipewa zawadi, aliyewatoa zawadi tunamjua, walipokwenda tunapajua. Ili kuthibitisha Twiga hao hawakuibiwa, ndio maana hapo walipo, wako mpaka sasa tena habari njema, wameisha zaa mara mbili!. Hapo walipo, Watanzania tunakwenda sana, na kuwafurahia!.

Kwa vile kina ndege kabla haijatua uwanja wowote, lazima itoe flight data na manifest, ni ngega gani, ya nani, inaendeshwa na nani, na imetoka wapi, imebaba nini, ina crew wangapi, ina abiria wangapi etc. Ikiisha tua, hizo taarifa zinathibitishwa, kama imeleta mzigigo inapokelewa inagaguliwa, kama ni abiria wanakaguliwa ndio wanaruhusiwa kuondoka nchini.

Vivyo hivyo, ndege ikiondoka, kabla haijapewa clearance, flight details zinakuwepo, haiwezekani twiga wameibiwe hatujui!, ndege hiyo tunaijua ni ya nani, inaendeshwa na nani, imekwenda wapi, hivyo twiga wangeibiwa tungeripoti interpoli, walipofika kule walikopelekwa wangekamatwa na aliyewaiba kulazimishwa kugharimia kuwarejesha, lakini hatujafuatilia popote!. Hivyo amini twiga wetu hawakuibiwa bali walitolewa zawadi, atoa zawadi anafahamika, mpokea zawadi anafahamika, walipo panafahamika, ila naombo tuu usiniulize mimi nikutajie, kwasababu, kuna taarifa nyingine sisi waandishi tunazipata as prileged information, yaani unapa taarifa kwa taarifa yako tuu, FYE only na sio kuzitangaza, kama ile siku nilipopata taarifa hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Hapa sijashangaa jiwe kutoroshwa!, nimeshangaa serikali kutokuwa na taarifa!.
P
 
Naona jamaa wanaraise doubt kama kweli hiyo ndio thamani yake.
Mkuu Statesman , doubt zao ni za kweli, lile jiwe ni ruby ya Longido, rubby ile haina thamani kivile, kwasababu ni mjiwe mkubwa tuu lakini ruby halisi ni kidogo sana. Sasa matapeli wakacheza dili, wakaichukua ruby ya Longido na kuitengenezea a face certificate of orgin ili kuonyesha imetoka Winza, Dodoma!, kisha wakaitengenezea a fake waluation certificate ionekana ina thamani kubwa, wakati its not true. Mnunuzi akadanganyika kuinunua, alipogundua amedanyangwa, na yeye akaiuza kwa tajiri wa Kiarabu kwa utapeli vile vile, tajiri wa Kiarabu bila kujua jiwe ni fake, ndio kaingiza nzigo sokoni.
P
 
kwenye nchi amabapo tunaruhusu mijadala ya kitaifa kama hii ipigwe pini na story za kina dr. kumbuka kajala harmonize au steve nyerere usitegemee tutapata suluhu..kuzungumziwa bungeni ndo mwanzo wake na ndo mwisho wake..dont expect a proper explanation rather than politicians giving answers to save their daily bread.
Hao uliowataja, hoja zao, ndicho Watanzania wanapenda kusikia. Mfano angalia bandiko hili kuhusu hii ruby, lilibandikwa lini humu jf, angalia lilibandikwa lini na lilichangiwa na watu wangapi Rubi ya Tanzania ya thamani kubwa Duniani ilienda UK Kihalali au Iliporwa?
Leta habari za Daimond na Wema, Zari etc uone jinsi michango ikimiminika.
P
 
Back
Top Bottom