Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Wanabodi,

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa nafsi yako yote na kuilinda na kuitetea kwa moyo wako wote, kwa nguvu zako zote, na kwa uwezo wako wote, na ikibidi kuipigania, uwe tayari kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!

Uzalendo wa kweli hukaa ndani ya mtu, hauonekani kwa macho, bali hukaa moyoni, hivyo kuna watu ukiwaangalia kwa juu juu at face value kwa jinsi wanavyo onekana, wanaonekana kama ni wazalendo, lakini in reality sio wazalendo lolote wala uzalendo chochote, bali ni wapigaji, na baadhi yao ndio mafisadi wakubwa!. Wamejivisha ngozi ya kondoo ya uzalendo,Ila kwa ndani ni mbwa mwitu, fisi, Chui na Chatu kabisa!

Na kuna watu ni hohe hahe, masikini wa kutupwa, wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, lakini wana moyo wa upendo wa dhati kwa taifa lao na ndio wazalendo wa kweli wa taifa hili, Mimi najihesabu ni mmoja wa wazalendo hawa, sinyamazi kusubiria wasifu ile siku, najitanabaisha wazi ili ikifika angalau nihesabiwe nilisema, niliandika na kutengeneza kipindi cha TV.

Ukiona kuna kitu serikali yako imeshindwa na wewe unaweza kusaidia, saidia tuu usingoje uombwe, na nilivyofanya huko nyuma, na ndicho ninafanya hapa.

Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na wasiojulikana, serikali yetu ilishindwa kuwapata, mimi ni miongoni mwa tuliojitolea kuisaidia serikali yetu kuwabaini wasiojulikana hawa, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Kwenye ulinzi wa Rasilimali zetu, kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na kilio cha kufanywa shamba la bibi kwa manyang'au kutuibia Rasilimali zetu as if hazina mwenyewe!.

Tanzania tunaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Wasalaam

Paskali​

Hata kwenye huu mjadala wa ubinashishaji wa Bandari yetu kwa kampuni ya DPW ya Mwarabu wa Dubai, tunaendeleza uzalendo ili tusiendelee kufanywa shamba la bibi Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Hakuna. Mtanzania yeyote mwenye akili zake timamu anapinga maendeleo ya nchi yake, kinachotakiwa ni tumefanywa sana shamba la bibi, tusiendelee kufanywa shamba la bibi, let's negotiate a good deal
P
 
Hivi P ibara ya 6 na 13 unaionaje wewe kama wewe?? Ni deal nzuri au??
 
Hata kwenye huu mjadala wa ubinashishaji wa Bandari yetu kwa kampuni ya DPW ya Mwarabu wa Dubai, tunaendeleza uzalendo ili tusiendelee kufanywa shamba la bibi Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Hakuna. Mtanzania yeyote mwenye akili zake timamu anapinga maendeleo ya nchi yake, kinachotakiwa ni tumefanywa sana shamba la bibi, tusiendelee kufanywa shamba la bibi, let's negotiate a good deal
P
Na huo ndio ukweli mchungu. !!
 
Tuwe kama China. Adhabu kifo. Uone kama watu wataiba mali ya umma..
Na huo ndio ukweli mchungu. ! Lakini kwanza Kabisa ni Katiba mpya bora ambayo itaifumua mifumo yote inayotakiwa itende haki kwa watu wote ili kusiwepo na uonevu au upendeleo wowote kwa yeyote yule !

Kisha mifumo isukwe ipasavyo !! Hata hao wachina mpaka wamefikia hapo wameshapitia changa moto nyingi kama zetu na kushinda zetu !!

Panapo na nia na njia ipo !! It can be done play your part !
In Mwalimu’s voice R.I.P 🙏🙏🙏
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu hii Ruby, Swali ni Tanzania tutaendelea kufanywa ni "Shamba la Bibi" hadi lini?!. Hii Burj Alhamal Ruby ni Yetu!, Iweje Iko Sokoni Dubai, lakini serikali yetu haijui chochote?!.

Kwenye ulinzi wa Rasilimali zetu, kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na kilio cha kufanywa shamba la bibi kwa manyang'au kutuibia Rasilimali zetu as if hazina mwenyewe!.

Hivi ninavyoandika hapa, kuna jiwe la kito cha thamani aina ruby kutoka mgodi wa ruby wa Winza kule Dodoma, lenye uzito wa kilo 2.8, ambalo limechimbwa na Mchimbaji mdogo, serikali haijui, Mchimbaji huyo haijui thamani yake hivyo ameuza bei ya kutupa, serikali haijui. Mnunuzi kaliondoa nchini kinyemela serikali haijui. limeuzwa serikali haijui, mnunuzi kaliuza kwa tajiri wa Kiarabu, serikali haijui. Tajiri wa Kiarabu kalibatiza jina la Burj Alhamal Ruby, serikali haijui.

Sasa Burj Alhamal Ruby liko sokoni Dubai, likisubiria mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan uishe, lipigwe mnada, serikali haijui!

Paskali[/

Tanzania tuna waandika habari na si waandishi wa habari.kuna jiwe la rubi limenadiwa uarabuni kwa dola 120m sawa na b288 lkn hakuna chombo cha habari hata kimoja kilichoandika bali ni Askofu Bandukile ndoa kaibua na kuposti facebook
Hututendei haki, wandika habari wapo, waandishi wa habari wapo, na wahandisi wa habari pia wapo ambao ni watunga habari.

Kuhusu hiyo Ruby, karibu mitaa hii Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

Na hii Rubi kutoka Tanzania yavunja rekodi Dubai hivyo usiseme hatujaandika, sometimes mnatuonea sana.

P​

Ndugu Mayalla, ukishatoa kibali cha uchimbaji kwa mwekezaji (mgeni au mwenyeji) at what point mali anayopata inaweza kumilikiwa kinguvu na serikali, refer ishu ya yule Mamba
 
Wanabodi,

View attachment 2198531View attachment 2198532

Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.

Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu hii Ruby, Swali ni Tanzania tutaendelea kufanywa ni "Shamba la Bibi" hadi lini?!. Hii Burj Alhamal Ruby ni Yetu!, Iweje Iko Sokoni Dubai, lakini serikali yetu haijui chochote?!.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa nafsi yako yote na kuilinda na kuitetea kwa moyo wako wote, kwa nguvu zako zote, na kwa uwezo wako wote, na ikibidi kuipigania, uwe tayari kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!

Uzalendo wa kweli hukaa ndani ya mtu, hauonekani kwa macho, bali hukaa moyoni, hivyo kuna watu ukiwaangalia kwa juu juu at face value kwa jinsi wanavyo onekana, wanaonekana kama ni wazalendo, lakini in reality sio wazalendo lolote wala uzalendo chochote, bali ni wapigaji, na baadhi yao ndio mafisadi wakubwa!. Wamejivisha ngozi ya kondoo ya uzalendo,Ila kwa ndani ni mbwa mwitu, fisi, Chui na Chatu kabisa!

Na kuna watu ni hohe hahe, masikini wa kutupwa, wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, lakini wana moyo wa upendo wa dhati kwa taifa lao na ndio wazalendo wa kweli wa taifa hili, Mimi najihesabu ni mmoja wa wazalendo hawa, sinyamazi kusubiria wasifu ile siku, najitanabaisha wazi ili ikifika angalau nihesabiwe nilisema, niliandika na kutengeneza kipindi cha TV.

Ukiona kuna kitu serikali yako imeshindwa na wewe unaweza kusaidia, saidia tuu usingoje uombwe, na nilivyofanya huko nyuma, na ndicho ninafanya hapa.

Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na wasiojulikana, serikali yetu ilishindwa kuwapata, mimi ni miongoni mwa tuliojitolea kuisaidia serikali yetu kuwabaini wasiojulikana hawa, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Kwenye ulinzi wa Rasilimali zetu, kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na kilio cha kufanywa shamba la bibi kwa manyang'au kutuibia Rasilimali zetu as if hazina mwenyewe!.

Hivi ninavyoandika hapa, kuna jiwe la kito cha thamani aina ruby kutoka mgodi wa ruby wa Winza kule Dodoma, lenye uzito wa kilo 2.8, ambalo limechimbwa na Mchimbaji mdogo, serikali haijui, Mchimbaji huyo haijui thamani yake hivyo ameuza bei ya kutupa, serikali haijui. Mnunuzi kaliondoa nchini kinyemela serikali haijui. limeuzwa serikali haijui, mnunuzi kaliuza kwa tajiri wa Kiarabu, serikali haijui. Tajiri wa Kiarabu kalibatiza jina la Burj Alhamal Ruby, serikali haijui.

Sasa Burj Alhamal Ruby liko sokoni Dubai, likisubiria mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan uishe, lipigwe mnada, serikali haijui!

Mbunge Mhe. Danstan Kitandula, anauliza Bungeni kumuuliza Waziri wa Madini kuhusu jiwe hili, Waziri wa Madini anashanga na yeye kusema serikali haijui Ila na wao wamesikia mitandaoni!

Serikali sio mtu ni Taasisi, ina jicho kali linaona kila mahali, ina mkono mrefu unafika kila kona, hivyo katika hali ya kawaida, haiwekani haya yote yatokee Tanzania!, tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Kwa vile sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa "the world of information world" kila kitu ni kwenye ncha za vidole vyako, kuisaidia serikali yetu ipate PA kuanzia, hizi ni data zote za jiwe hili akiwemo mmiliki.

View attachment 2196654
Huyu jamaa Steve Ulatowski, ndie mtaalamu wa Madini ya ruby aliyepima properties za jiwe hili, akiwa na mmoja wa wachimbaji wa ruby sasa analisagia kunguni jiwe letu la Dubai ili mnada usifanyike kwasababu hilo jiwe limepigwa!

Burj-Alhamal-1024x891.png

Buyer Beware: Closer Examination of the Burj Alhamal Ruby Casts Doubt on its $120 Million Valuation​

by Jeffery Bergman, AGA ASG, BDC-BGC SSEF
April 21, 2022

An astonishing record-breaking rough ruby of 8,400 carats, weighing 2.8 kilograms, from Winza, Tanzania has gone on display at the Waldorf Astoria Dubai International Financial Centre. According to Patrick Pilati, a director of the company that owns the ruby, SJ Gold & Diamonds of Dubai, said it is one of the largest rubies in the world and is valued at approximately $120 million. As the company’s crown jewel, they have named it ‘Burj Alhamal’.

Is the Burj Alhamal really worth $120 million? Photo attribution: The National.

However, a closer examination of the stone casts doubt on its estimated valuation. A closer look at the details reveals the stone may not be what it seems. For example, a 5.00 carat stone weighs about 1.00 gram. Therefore, a 8,400 carat stone would weigh approximately 1.68kg, not 2.8 kilograms. Second, several rough ruby-in-zoisite specimens 5 to 10 times larger have been documented. Third, rubies from Winza are not found in zoisite. The stone is likely from Longido, Tanzania. Finally – and most importantly – current valuations for ruby-in-zoisite specimens do not support the estimated $120 million valuation for the Burj Alhamal.

So, what could the Burj Alhamal really be worth? Steve Ulatowski of New Era Gems is an expert in ruby-in-zoisite specimens. He has sold a substantial amount of this material at the going rate of around US$350 per kilogram, including the approximately 3kg specimen he is holding in the photo below. “Maybe US$1200 if we were lucky…wholesale, most likely [this would sell for] $750.”

Steve Ulatowski with a miner in Tanzania. ©Travis Lejman

New Era Gem’s table at Tucson 2022 selling ruby-in-zoisite specimens from Longido, Tanzania for $350 per kilogram.

Another example that undermines the extraordinary valuation of the Burj Alhamal is the 2 kg ruby-in-zoisite specimen named the “Gem of Tanzania.” It was initially valued at £11m (US$14.35m) and owned by UK Wrekin Construction. The company used the valuation of the stone to help prop up its balance sheet. Forced into bankruptcy, the court-appointed administrators Ernst & Young declared the 2kg stone’s £11m valuation and its accompanying documents as forgery. With 60 offers, it was eventually auctioned for a mere £8,000 (US$10,400), leaving creditors with massive losses exceeding £45m (US$58.7m).

But there’s still more evidence that points to an inflated valuation for the Burj Alhamal. A 228,000 carat (45.6kg) ruby-in-zoisite specimen offered by Bonhams in Los Angeles on 20 May 2014 carried an estimated value of US$100,000-$150,000. This enormous ruby specimen is 16 times larger than the “Burj Alhamal.” It failed to sell at the Bonhams auction. In other words, bidding did not reach the minimum estimated value of US$100,000 (or US$2,200 per kilogram).

Instead, the Bonhams stone, which the listing states was carved from a “single specimen of Tanzanian ruby rough” by a famous Idar-Oberstein carver, had a finished weight of 0.85kg and sold at auction for $13,200 or $15,500/kg. This is another great price/value comparison to the Burj Alhamal which, from its photos, is likely of similar or lesser quality. The National photo of Burj Alhamal shows that the stone may only be about 25% ruby and 75% zoisite. This means the actual ruby content is about 0.7kg – considerably less than the 0.85kg of the Bonhams carved toad.

Several other Bonhams auction records demonstrate that you can purchase ruby-in-zoisite specimens for a few hundred dollars.

New Era Gems website offers a 2.92KGS ruby-in-zoisite specimen for US$700.

The 2.8kg (or 1.68kg?) “Burj Alhamal” is only one of the gems in the SJ Gold & Diamonds Callisto collection, which includes 12 rough rubies that weigh a total of “an astonishing 236,000 carats” according to Tariq Saeed, writing for Dubai’s Periodical Today news website.

SJ Gold & Diamonds should pay closer attention to auction records when publishing any eye-popping valuation of the stones in its collection. Otherwise, experience from the likes of the Gem of Tanzania will dictate the obvious next question: “Why?”

Kwa kuwasaidia wenzangu na mimi ambao hizi lugha ni lugha za watu.

Kwa mujibu wa mtaalamu wa miamba ya madini, anasema japo hili jiwe la hii Ruby limeingizwa soko la kimataifa Kwa makaratasi ya kuonyesha limechimbwa mgodi wa Winza Dodoma, hizo karatasi ni forgery, hili jiwe limechimbwa Longido Arusha, na Mchimbaji mdogo, ambaye hajui thamani ya jiwe hilo, hivyo alishikishwa kidogo dogo cha pesa mbuzi , kwake akaziona nyingi. Jiwe likaondoka Longido.

Ili jiwe liweze kuingia masoko ya kimataifa, ni lazima lisajiliwe na kupatiwa certificate of origin, hivyo ukatafutwa mgodi wa ruby ambao uko tayari ku issue that certificate, and that where mgodi Winza huko Dodoma ulipoingia ukatoa face certification ili mzigo uingie Sokoni. Jamaa wakalipwa chao, wakaingia front kuwa jiwe ni Lao, wakaliandikia certification, na sijui kama kodi za serikali zilipwe ndio maana serikali haijui!.

Hawa mgodi wa Winza, walifanya kosa moja tuu, walipima uzito bila kupima properties na kulisajiji kuwa wamelichimba wao. Hilo jiwe lina properties za kitu kinachoitwa zoisite, ambacho kinapatikana Longido tuu!, iweje ruby ya zoisite ipatikane Dodoma?.

Ni kama jiwe la Tanzanite kinapatikana Mererani pekee, lakini muuzaji mkubwa number 1 wa Tanzanite ni India akifuatiwa na Africa Kusini, Tanzanite inapatikana Mererani pekee nchini Tanzania, hiyo Tanzanite ya India inayoongoza Duniani na Africa Kusini, inatoka wapi?

Historia ya Jiwe Hili. Japo mwaka halisi hautajwi Ila jiwe hili lilichimbwa miaka ya nyuma enzi za Mkapa, na kuuzwa nchini Uingereza kabla ya Mwaka 2005.

Mwaka 2007 ndipo sarakasi za jiwe hili zilipoanza na kuropotiwa na gazeti la This Day na mitandao wa Jamii Forum
m Rubi ya Tanzania ya thamani kubwa Duniani ilienda UK Kihalali au Iliporwa?

Hiyo Ruby itakuwa ilichimbwa Longido enzi za Mkapa. Ikanunuliwa na mlanguzi, Mchimbaji atakuwa alipewa peanut!. Kwa vile sasa inatangazwa hivi, Mchimbaji wake kama yuko hai, atajitokeza.

Baada ya kuibiwa Longido, ili iweze kuingia sokoni ni lazima ipate certificate of origin, hivyo mwizi yule akaipeleka Dodoma kwenye mgodi wa Winza for certification, ili ionekane imechimbwa Dodoma, hivyo, kama ni kweli Winza walitoa certification, watakuwa walishikishwa kidogo dogo, wakatoa certificate fake ikionyesha ni Ruby ya Winza na kuingizwa sokoni. Ila pia inawezekana kabisa hata hiyo certificate of origin sio genuine ni fake!, hivyo Winza hawakufanya certification yoyote na hawajui lolote wala chochote bali ni utapeli mtupu!.

Mnunuzi wa kwanza aliipeleka hili jiwe Italy na kufanikiwa kupata valuation ya The institute of Gemmological in Italy on August 31, 2007 ikionyesha ndio tarehe ya valuation hiyo ikionyesha Ruby hiyo inathamani ya £. 11m za Uingereza.

Msemaji wa the institute of Gemmological ya Italia, Bi Loridana Prosperi, amekanusha taasisi yake kufanya uchunguzi wowote wa jiwe hilo, na kwenye kumbukumbu za kiofisi, hakuna taarifa yoyote juu ya kito hicho, na akasema kwanza, Taasisi haifanyi uthamini wa jiwe lolote, bali unaangalia properties tuu!, hivyo uthamini huo ni fake!. Tarehe ya barua hiyo ya August 31,2007, ilikuwa ni public holidays, ofisi haikufunguliwa, hivyo barua ya uthamini wa jiwe hilo ni barua fake. And she claimed her company never assessed the price of gemstones, only the quality.

Bila kujua taarifa hizo ni fake, kampuni ya Tamar ya Uingereza, ikadanganya kuwa imelinunua jiwe hilo Kwa £. 11m, na kuwauzia Wrekin Construction.

Sijui jiwe hilo fake, lilipitia mikono ya watu wangapi kabla halijatua kwa Tajiri wa Kiarabu, akalibatiza jina la na sasa liko sokoni watu wakitaka kupigwa!

Tanzania tunaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Wasalaam

Paskali​

Waoman na Dubai wamefanikiwa sana kutuletea wageni kututawala kisiasa na kiuchumi.

Wamefanikiwa vile vile kuchukua mpaka ardhi ya Tanganyika.

Watabeba kila kitu.
Kwa sasa wachina wanavuna miti kama vichaa.

Wageni Wanaupigawingi!!

Mfukuzeni wakala wa Waarabu Tanganyika ili nchi iwe salama.
Vinginevyo Tanganyika tutabaki na madeni na mashimo ya migodi.
Pascal Mayalla 2025 Msimpigie kampeni Mgombea atakayekwepa midahallo. Tunataka Wagombea wote wawekwe kwenye mdahalo ili watuonyeshe uzalendo wao na maono yao kwa taifa hili kwa vizazi vijavyo. Hata wagombea wenza waitwe kwenye midahalo.
Hii nchi tusipokua makini tutakua na vyombo vya dola vinavyolinda ufisadi wa watawala kwa kutumia mamlaka makubwa ya mtu na marafiki zake
 
Mambo kama haya yasingetokea laiti kama JPM angekua Hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiliwaza tu. Kwani wakati wake kulikuwa hakutokei upigani na hapakuwa kabisa na ripoti za kila mwaka za CAG kuonyesha fedha zinazopigwa? Mungu amwtujalia binadamu akili sana na ndiyo maana tunafanya maendeleo makubwa na kwa akili hiyo hiyo tuna uwezo wa kufanya uharibufu mkubwa (regression). Hivyo, katika Kila awamu kuna potential ya kufanya maendeleo makubwa na kuna potential pia ya kufanya blunder kubwa (coexistence of good and evil). Cha kufanya ni kuendelea kuwa responsible and law-abiding citizens and at the same time be able to prevent as much as we can some evil such as mismanagement or depletion of our resources.
 
Back
Top Bottom