Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni naye vizuri tu kwani itakuwa moja ya export ya TZ kwenu.Yaani Tanzania ilimpiga Diamond ban eti asifanye tamasha yoyote nje na ndani ya Tanzania.
Sasa jamaa amekuja yupo tayari kutumbuiza, watu wamenunua tiketi wanaambiwa mambo ya ban.
Kha hii ni Kenya hatuendeshwi kiujamaa, lazima atumbuize.
Atumbuize tu na ikiwezekana mpeni na urai hili linchi karibia tunahama wote
KWAHILI KUWEKA UZALENDO PEMBENI INABIDI NIKUUNGE TU MKONO.VIONGOZI WETU WANA MAAMUZI YA KUKURUPUKA ...hawajui biashara zinaendeshwa na mikataba na huwezi tu vunja kama umebanwa na uharoHehehe yaani unapigwa ban hata nje ya nchi, huku hayo hatuyajui, tena athubutu kughairi halafu watu wamelipia tiketi aone mziki wake, yeye na wapambe wake watachezea chupa za beer.
Atumbuize tu na ikiwezekana mpeni na urai hili linchi karibia tunahama wote
Chibudenga a.k.a Dhomo a.k.a Mondi lazima atatumbuiza mafans wake hapa Kenya toka Embu, Mombasa hadi Nairobi. Kenya hapana tambua draconian laws kutoka pande ile ingine iliyojaa chuki, ujuha, uzembe, ushamba, ushangingi, upoyoyo, upimbi, umbea, udwanzi, ushenzi, ulimbukeni, ujinga, uchawi, urogi, ushirikina.... na mengine mengi. Show lazma ziendelee kama zilivyopangwa, wapende wasipende, watake wasitake.
Basata kama itawauma sanaaa,,, naomba mutafute miti iliyopo karibu nanyi muikumbatie au mupande Mlima Kili mujirushe mpaka chini.
Uhame mara ya ngapTanzania ni nchi ya kishamba tu maviongozi mashamba tu bora diamond ahamie huko Kenya na Mimi Niko njian kuhamia Botswana au Namibia mwezini
[emoji23] [emoji23]Chibudi chibudee lazima aperform. Wenye wamekabwa na haja kubwa waende choo. Au wajinyonge na tissue
Pingli umerudi? Karibu. Umepashwa habari kuwa kuna mtu humu alianzisha thread kuulizia uko wapi?Eti amepigwa ban? 😀 Bila shaka hili lazima litakuwa ni agizo kutoka kwa yule mzee anti-social pale ikulu.
Hahaa! 😀 Nipo sana jombaa. Niliiona bana, nina magroupie kibao budaboss. [emoji38]Pingli umerudi? Karibu. Umepashwa habari kuwa kuna mtu humu alianzisha thread kuulizia uko wapi?