Tanzania sheria zenu za ujamaa msituletee Kenya, Diamond lazima atumbuize

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani Tanzania ilimpiga Diamond ban eti asifanye tamasha yoyote nje na ndani ya Tanzania.
Sasa jamaa amekuja yupo tayari kutumbuiza, watu wamenunua tiketi wanaambiwa mambo ya ban.
Kha hii ni Kenya hatuendeshwi kiujamaa, lazima atumbuize.
 
Endeleeni naye vizuri tu kwani itakuwa moja ya export ya TZ kwenu.
 
Atumbuize tu na ikiwezekana mpeni na urai hili linchi karibia tunahama wote

Hehehe yaani unapigwa ban hata nje ya nchi, huku hayo hatuyajui, tena athubutu kughairi halafu watu wamelipia tiketi aone mziki wake, yeye na wapambe wake watachezea chupa za beer.
 
KWAHILI KUWEKA UZALENDO PEMBENI INABIDI NIKUUNGE TU MKONO.VIONGOZI WETU WANA MAAMUZI YA KUKURUPUKA ...hawajui biashara zinaendeshwa na mikataba na huwezi tu vunja kama umebanwa na uharo
 
Tanzania ni nchi ya kishamba tu maviongozi mashamba tu bora diamond ahamie huko Kenya na Mimi Niko njian kuhamia Botswana au Namibia mwezini
 
TZ has leaders thinking in reverse, jambo hili limenishtua sana.
 
Chibudenga a.k.a Dhomo a.k.a Mondi lazima atatumbuiza mafans wake hapa Kenya toka Embu, Mombasa hadi Nairobi. Kenya hapana tambua draconian laws kutoka pande ile ingine iliyojaa chuki, ujuha, uzembe, ushamba, ushangingi, upoyoyo, upimbi, umbea, udwanzi, ushenzi, ulimbukeni, ujinga, uchawi, urogi, ushirikina.... na mengine mengi. Show lazma ziendelee kama zilivyopangwa, wapende wasipende, watake wasitake.
Basata kama itawauma sanaaa,,, naomba mutafute miti iliyopo karibu nanyi muikumbatie au mupande Mlima Kili mujirushe mpaka chini.
 
Eti amepigwa ban? 😀 Bila shaka hili lazima litakuwa ni agizo kutoka kwa yule mzee anti-social pale ikulu.
 
Chibudenga a.k.a Dhomo a.k.a Mondi lazima atatumbuiza mafans wake hapa Kenya toka Embu, Mombasa hadi Nairobi. Kenya hapana tambua draconian laws kutoka pande ile ingine iliyojaa chuki, ujuha, uzembe, ushamba, ushangingi, upoyoyo, upimbi, umbea, udwanzi, ushenzi, ulimbukeni, ujinga, uchawi, urogi, ushirikina.... na mengine mengi. Show lazma ziendelee kama zilivyopangwa, wapende wasipende, watake wasitake.
Basata kama itawauma sanaaa,,, naomba mutafute miti iliyopo karibu nanyi muikumbatie au mupande Mlima Kili mujirushe mpaka chini.

Oyaaa mzeiya.....hehehe duh sio kwa maneno hayo...
 
Back
Top Bottom