mlinzi255 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 227 Reaction score 39 Dec 22, 2018 #21 hata ikiwezekana abebe waasafi alete kwenu
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Dec 22, 2018 #22 tatizo la Tanzania wachawi wengi sana
YoungD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 1,275 Reaction score 1,332 Dec 22, 2018 #23 hehehehe, waasafi wanaoimba uchafu!
N Ngapulila JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 841 Reaction score 747 Dec 23, 2018 #24 MK254 said: Yaani Tanzania ilimpiga Diamond ban eti asifanye tamasha yoyote nje na ndani ya Tanzania. Sasa jamaa amekuja yupo tayari kutumbuiza, watu wamenunua tiketi wanaambiwa mambo ya ban. Kha hii ni Kenya hatuendeshwi kiujamaa, lazima atumbuize. Click to expand... Hakuna matata kwetu n jambo LA hero tunatengeneza fedha from Kenya
MK254 said: Yaani Tanzania ilimpiga Diamond ban eti asifanye tamasha yoyote nje na ndani ya Tanzania. Sasa jamaa amekuja yupo tayari kutumbuiza, watu wamenunua tiketi wanaambiwa mambo ya ban. Kha hii ni Kenya hatuendeshwi kiujamaa, lazima atumbuize. Click to expand... Hakuna matata kwetu n jambo LA hero tunatengeneza fedha from Kenya