Tanzania sheria zenu za ujamaa msituletee Kenya, Diamond lazima atumbuize

Tanzania sheria zenu za ujamaa msituletee Kenya, Diamond lazima atumbuize

Yaani Tanzania ilimpiga Diamond ban eti asifanye tamasha yoyote nje na ndani ya Tanzania.
Sasa jamaa amekuja yupo tayari kutumbuiza, watu wamenunua tiketi wanaambiwa mambo ya ban.
Kha hii ni Kenya hatuendeshwi kiujamaa, lazima atumbuize.
Hakuna matata kwetu n jambo LA hero tunatengeneza fedha from Kenya
 
Back
Top Bottom