Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

mnawaongelea hawa watu????
Screen Shot 2021-01-07 at 5.44.54 AM.png
 
Mimi hhuwa nafurahi saana maamuzi wa mchezo wa ngumi na wachambuzi wa mchezo huo maarufu kama vitasa. Watazamaji tunaona tofauti, maamuzi na uchambuzi tofauti
 
Hili lilishaisha watafute habari nyingine. Vita ni ndani na nje ya uwanja, imepita hiyo.
 
Habari kama hizi na zile za CAS ziwe nyingi sana kwa kipindi hiki maana zinawafariji sana hawa wenzetu na infact ndio faraja pekee waliyobaki nayo
 
Mbona tz hakuna aliyekutwa positive toka mwaka jana? Au hawazungumzii tz?
 
Back
Top Bottom