Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7

Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye amani.

1:Mauritius🇲🇺
2: Botswana 🇧🇼
3:Ghana🇬🇭
4: Zambia 🇿🇲
5:Sierra Leone 🇸🇱
6:Senegal 🇸🇳
7:Tanzania🇹🇿
8: Namibia 🇳🇦
9:Liberia🇱🇷
10: Malawi🇲🇼

Kazi kwa Watanzania kufanya Nchi iwe na amani. Panya road bado tishio Nchini Tanzania

Hii ndo Tanzania inakubali, ila kwa takwimu na uhalisia, Tanzania ni ya 16 katika bara la Afrika kwa vigezo zilivyowekwa. Kama siasa safi, Utawala bora nk

Soma

Pia soma Watu wasiojulikana

Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
 
Acha uongo Tz haijawahi kuwa ya kwanza Afrika! Pia usijali Mama anaponya nchi tutarudi juu muda sio mrefu
 
Tanzania ni nchi ya DICTATOR Samia yaani kama Joni magufuli hataki kukosolewa
 
Liberia hawa hawa ambao migogoro ni jadi Yao wamekuwa wa 9?
 
Hizo nchi nyingine zilizotupita hapo kama Ghana na Botswana, wanastahili kuwa visiwa vya amani kwasababu tawala zao zinaheshimu haki za raia wao na kuzilinda.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya amani yetu na amani ya hao walio juu yetu, amani yetu inachangiwa na uoga unaosababishwa na vitisho toka kwa watawala [refer kauli ya Samia jana kuhusu kuwatenga wapinzani] wakati wenzetu amani yao inachangiwa na utii wa sheria, kwa wote, raia na serikali zao.

Bahati mbaya sizioni juhudi zozote za kutunasua hapo, kwasababu mpaka sasa mambo yanayoendelea kufanyika ni kinyume chake, mfano; inawezekana kabisa akitokea mpinzani akaanza kupiga kelele kuhusu Katiba Mpya, au kuruhusu mikutano ya kisiasa nae anaweza kutekwa, au kubambikiwa kesi.
 
Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7

Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye amani.

1:Mauritius🇲🇺
2: Botswana 🇧🇼
3:Ghana🇬🇭
4: Zambia 🇿🇲
5:Sierra Leone 🇸🇱
6:Senegal 🇸🇳
7:Tanzania🇹🇿
8: Namibia 🇳🇦
9:Liberia🇱🇷
10: Malawi🇲🇼

Kazi kwa Watanzania kufanya Nchi iwe na amani. Panya road bado tishio Nchini Tanzania

Hii ndo Tanzania inakubali, ila kwa takwimu na uhalisia, Tanzania ni ya 16 katika bara la Afrika kwa vigezo zilivyowekwa. Kama siasa safi, Utawala bora nk

Soma

Kwani wasiojulikana bado wapo?
 
Tanzania ni nchi ya DICTATOR Samia yaani kama Joni magufuli hataki kukosolewa
Raisi wangu mpendwa Samia sio Dikteta, (msema kweli mpenzi wa Mungu)ametoa fursa ya kukosolewa, kumbuka tumetoka kwenye Utawala ambao kukosoa tu unawinawindwa kama Mnyamapori.

Sijawahi kusikia Samia akisema atakayeleta "fyoko fyoko" kukiona kama ilivyokuwa katika Utawala wa Kifashisti wa Magufuli.
 
Hizo nchi nyingine zilizotupita hapo kama Ghana na Botswana, wanastahili kuwa visiwa vya amani kwasababu tawala zao zinaheshimu haki za raia wao na kuzilinda.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya amani yetu na amani ya hao walio juu yetu, amani yetu inachangiwa na uoga unaosababishwa na vitisho toka kwa watawala [refer kauli ya Samia jana kuhusu kuwatenga wapinzani] wakati wenzetu amani yao inachangiwa na utii wa sheria, kwa wote, raia na serikali zao.

Bahati mbaya sizioni juhudi zozote za kutunasua hapo, kwasababu mpaka sasa mambo yanayoendelea kufanyika ni kinyume chake, mfano; inawezekana kabisa akitokea mpinzani akaanza kupiga kelele kuhusu Katiba Mpya, au kuruhusu mikutano ya kisiasa nae anaweza kutekwa, au kubambikiwa kesi.
Kweli aisee!
 
Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7

Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye amani.

1:Mauritius[emoji1164]
2: Botswana [emoji1052]
3:Ghana[emoji1110]
4: Zambia [emoji1268]
5:Sierra Leone [emoji1214]
6:Senegal [emoji1211]
7:Tanzania[emoji1241]
8: Namibia [emoji1176]
9:Liberia[emoji1148]
10: Malawi[emoji1156]

Kazi kwa Watanzania kufanya Nchi iwe na amani. Panya road bado tishio Nchini Tanzania

Hii ndo Tanzania inakubali, ila kwa takwimu na uhalisia, Tanzania ni ya 16 katika bara la Afrika kwa vigezo zilivyowekwa. Kama siasa safi, Utawala bora nk

Soma

Yule nyang'au dhalimu mwendazake alituharibia sana nchini yetu.
 
Ita
Acha uongo Tz haijawahi kuwa ya kwanza Afrika! Pia usijali Mama anaponya nchi tutarudi juu muda sio mrefu
Atairudisha kuwa nchi ya amani wa kuwateka na kuwaua wanaomkosoa, na kudai kifo ni kifo tu!!
 
Liberia hawa hawa ambao migogoro ni jadi Yao wamekuwa wa 9?
Wewe unaongelea Liberia ya kale. Liberia ya sasa, ni bora kwa kuheshimu haki za raia, mara 20 zaidi ua Tanzania. Huwezi kusikia Liberia kuna mtu ametekwa au kuuawa kwa sababu ya kumkosoa Rais.

Nimefika Liberia, nimekaa kwa zaidi ya miezi mitatu. Kiutawala, wapo mbele ya Tanzania. Hawakustahili hiyo nafasi ya 9, halafu Tanzania iwe ya 7!!

Tanzania kwa sasa inastahili kuwa chini ya Liberia, na siyo juu yake.
 
Amani ya nchi yetu inaharibiwa na Serikali ya CCM ndio wanaleta haya machukizo na machafuko!
Kuvuruga uchaguzi
Kuteka na 'kupoteza' watu
 
IMG-20241113-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom