Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni jambo ambalo sio jema watu kutaka kuutumia huu ugonjwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa.
WHO ilishatoa muongozo wa namna kila nchi itapambana vipi na huu ugonjwa kulingana na uchumi wake.
Jambo la msingi ni kuzingatia misingi inayotakiwa kujilinda na huu ugonjwa.Kama kuvaa mask kila unapokutana na watu wengi,kutumia sanitizer na kunawa na sabuni na maji mara kwa mara ili kujitakasa mikono.
Haina kipingamizi hatua hizi zimechukuliwa hapa nchini kwetu na serikali na wizara ya afya imekuwa mstari wa mbele kusisitiza watu wachukue hatua hizi.
Nchi za jirani za Zambia na Kenya wanasema wamefunga mipaka yao kwa hofu kuwa Tanzania haijachukua hatua madhubuti kupambana na hiki janga la Corona Virus. Je wao walitaka hatua gani? Total lockdown? Half lockdown?
Kiuhalisia wacha wafunge mipaka yao na alafu tuone nani ataumia? Maana nchi yetu tuna bandari na Mungu ametubariki hata Chakula tunapaka kwa wingi kila mwaka. Hao kenya tumekuwa tukiwalisha kwa zaidi ya miaka minne. Hao zambia shopping yao kubwa ni hapa Dar es salam na kwa miaka kumi tunawalisha.
Inashangaza wafuasi na wanachama wa Chadema na na wanaopenda kukosoa bila kufikiria wanasema eti Diplomasia ya Tanzania imeporomoka.
Hivyo sisi hata wakifunga mipaka hatuwezi kuteteleka sababu tuna bandari na Mungu ametubariki kuwa na chakula cha kutosha.