Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Ni jambo jema ila huo ndio umwagaji damu niliokua nauzungumzia, huwezi kupata haki kwa mdomo kama huwezi vita ni bora ukatulia maisha yaendelee...Tunafanya km nepal safisha safisha kwnz hawatakiwi kuishi ni risasi tu
Ujinga ni kuamini mmebarikiwa kila kitu.Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi ,makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k
Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado tanzania ni nchi masikini how??
Viongozi wachumia tumbo wapigaji wanaiharibu nchi yetu
Ufisadi wakufa mtu anamiliki madola ndani inatia kichefuchefu
Ni sawa je unawaza kuhusu wajukuu zako kuwa watakuja kuishi kwenye nchi yao kama watumwa?Hiyo siyo maana yangu, hapa ni kupambana uingie kwenye sisitimu kwa njia yoyote ile ya haki au halamu, ila si kwa kudai haki hutaipata kamwe zaidi ya kupigwa vita.
Hapa panyewe tulipo ni kama watumwa, sina haja ya kutumia nguvu kuwaza maisha ya mtu mwingine ajaye, ninacho weza kufanya kwa sasa ni kumtengenezea njia ya maisha yake hapo baadae..Ni sawa je unawaza kuhusu wajukuu zako kuwa watakuja kuishi kwenye nchi yao kama watumwa?
Wewe hapo kwa sasa una Access ya kununua hata ardhi heka500 wajukuu zako hadi awe na mabilioni ya shilingi kumilki hiyo ardhi weka miaka 30 mbele tu kama tutaendelea kuongozwa na ccmHapa panyewe tulipo ni kama watumwa, sina haja ya kutumia nguvu kuwaza maisha ya mtu mwingine ajaye, ninacho weza kufanya kwa sasa ni kumtengenezea njia ya maisha yake hapo baadae..
Sawa mkuu, ila sipo upande wa ccm napigania amani...Wewe hapo kwa sasa una Access ya kununua hata ardhi heka500 wajukuu zako hadi awe na mabilioni ya shilingi kumilki hiyo ardhi weka miaka 30 mbele tu kama tutaendelea kuongozwa na ccm