Tanzania sio nchi ya mpira tunalazimisha tu

Madagascar ilipowahi kua.

Ilipogeuka na kua dark horse.

Kuna somo ilitakiwa tulijue.

Anyway, timu ya taifa hua nzuri ikiwa wachezaji wake wengi wanacheza ligi za nje zenye ushindani au ligi ya ndani ila ina ushindani.

Hao uliotaja angalia kikosi kinaundwa na wachezaji wanatokea wapi. Rais wa Madagascar alivyoona timu yao ya Taifa inafanywa shamba la bibi kila mashindano akafanya mpango watoto wengi wakaenda nchi za Ulaya kwenye academy na hatimaye timu za huko.

Wakaja Afcon walikua on fire si mchezo.
 
Bora hata sisi mkuu . KENYA ndo wamekula Ban kabisa na FIFA..
 
Nimekuelew mkuu kbx unachozungumzia ila aujaelew maan yangu ndio maan hata Madagascar baada ya hapo tena wamepotea means kwa asili sio taifa la mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…