NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:embarrassed: duuuuhhhh ilimradi unaona kajani na ua.....
hapo kuziri hivyo......
halafu mnalami hapo mjini sana .....
ukinda nilikotoka ukipanda kamti mbuzi wanamaliza kabla hata mizizi haijafika chini....
Afrodenzi nimependa signature yako simple lakini ina ujumbe mzito nakuombea upate mtu wa matarajio yako.
Hapo kwenye 'i love you 2' najua ni kwa nia nzuri naomba tu dada mmoja asiione wajameni lol!asante sana....
sante sana na baraka zako....
i love you 2..
Hapo kwenye 'i love you 2' najua ni kwa nia nzuri naomba tu dada mmoja asiione wajameni lol!
Wakati niko kule kijijini kwetu Ntyuka Idodomelaa nikisikia DSM najua ni Pepo Ndogo duniani,
doh salaleee, japo kwetu kijijini hakuna gorofa lakini hatuna haya, bwana.
Anyway, ngoja nijiandae kujipoza weekend baada ya kuumia na harufu