Tanzania still BANNED from entering Kenyan soil

Yeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
 
Yeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
Kwani umesikia Mtz analilia kuja huko kwenu,nyie si ndio mnalalamika sana.Si mnasema sie tuna Covid basi kila mtu abaki kwake na maisha yanaendelea mbona ndugu. Uwe na amani tuuu
 
😄😄😄 binafsi naunga mkono maana ndio maana ya nchi huru.
 
Hiyo orodha haijatengenezwa na Wakenya bali imetengezwa na WHO wakapewa waitangaze, Wakenya hawawezi kutengeneza orodha kama hiyo, hawana akili kwa kiasi hicho, ...
Naona sindano limeingia hadi kwenye tundu la nyuma.
 
Naona sindano limeingia hadi kwenye tundu la nyuma.

Hivi kwa nini Wakenya huwa wana matusi makali sana? I mean Mkenya akikutukana unaweza ukajiua, mimi huwa nawaheshimu sana, matusi yao yanachoma kama sindano, huwa hawana mipaka na hawajui jinsi ya kuweka mipaka, duh!
 
So the MP Kajembe has died because of the corona virus from Tànzania?😄 this strange world!
 
Yeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
Mnajifariji tu kisaikolojia,Tanzania hakuna corona tumeshasahau hiyo kitu
Angalia Azam tv jumamosi Simba wanakwenda kujaza 60,000 spectators Mkapa stadium,hakuna barakoa Wala mama yake,Nyie endeleeni kutishana tu
 
Hatuna haja ya kujua kama mna corona au la la mking'ang'ania kuja kwetu lazima mpanue midomo tuwapime maana mlishajichokea na kutelekeza watu wenu wahangaike kwa corona wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…