Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Travellers from the following approved States will be exempt from quarantine when visiting Kenya.
View attachment 1542571
View attachment 1542571
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umesikia Mtz analilia kuja huko kwenu,nyie si ndio mnalalamika sana.Si mnasema sie tuna Covid basi kila mtu abaki kwake na maisha yanaendelea mbona ndugu. Uwe na amani tuuuYeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
Kwani kuna tatizo! Acheni kulia lia nyie Kunyaland, sisi tunachapa kazi, pambaneni na hali zenu!Travellers from the following approved States will be exempt from quarantine when visiting Kenya.
View attachment 1542571View attachment 1542572
Naona sindano limeingia hadi kwenye tundu la nyuma.Hiyo orodha haijatengenezwa na Wakenya bali imetengezwa na WHO wakapewa waitangaze, Wakenya hawawezi kutengeneza orodha kama hiyo, hawana akili kwa kiasi hicho, ...
Naona sindano limeingia hadi kwenye tundu la nyuma.
Mnajifariji tu kisaikolojia,Tanzania hakuna corona tumeshasahau hiyo kituYeah! Tukicheka na hawa majirani tutavuna mabua, nimefurahi sana kwa uongozi wa nchi yetu kwa kuwa na msimamo dhabiti, wasikubali kututia rehani kisa mindege yetu ya KQ kwenda Dar.
Kwa hili mmejiburn wenyeweTravellers from the following approved States will be exempt from quarantine when visiting Kenya.
View attachment 1542571View attachment 1542572
Mnajifariji tu kisaikolojia,Tanzania hakuna corona tumeshasahau hiyo kitu
Angalia Azam tv jumamosi Simba wanakwenda kujaza 60,000 spectators Mkapa stadium,hakuna barakoa Wala mama yake,Nyie endeleeni kutishana tu