Stupidity. Serikali ya Tanzania haina kazi?
Kila mwanasiasa anayesimama kuongea lazima mmepe jibu?
Cha ukweli ni kwamba Tanzania ndio imejaa xenophobia, na hili sio jambo la wanasiasa tu. Ni government policy.
Sasa hivi mnataka kuipa Kenya kidole cha lawama, ili mkiulizwa kwa nini mnawatendea Wakenya vibaya huko, mseme kwamba Watanzania wanatendewa vivyo hivyo hapa Kenya.
Msidhani hatuelewi reverse psychology.
Lakini serikali ya Kenya haina utoto kama inayoongozwa na supremo makufuli.
Hii ndio statement ya GOK leo.
View attachment 1138569