Tanzania swaps old J-7 fighters for new ones J-7G & J-7N from CHINA

siku m7 na kagame wakilianzisha ndo utajua umuhimu wa ndege za kivita.
Hawajui hao,kwanza kitu wanachotakiwa kufahamu mpaka hivi sasa hatuna jirani tunayeweza kumuamini,pili silaha za kivita si kwa ajili ya starehe bali ni kwa usalama wa nchi nadhani ningewaona wana uchungu kama wangepambana na ma Vx yanayonunuliwa kila siku.
 
Jamani hivi sio hatari kutangaza hadharani namna hii zana ambazo jeshi letu inamiliki?
 
Shimbo amepiga cha juu sh/= ngapi hapo?
 
 

Na ndio policy ya jeshi la aina yetu.."defence" yaan we defend our territory sisi sio kama Egypty au Ethiopia wale sera zao tofauti so we mainly need Interceptors rather zenye Multirole capability.. Tunajenga capability kubwa kwenye ground troops hapa ndio penyewe.. African Air Forces ni ndogo mno ukipiga ndege 10 tu umemaliza Air force ya mtu mfano Kaguta anatamba na hizo Sukhoi ila anazo 6 tu. So ukitengeneza SAM Battalion ya maana tena ya SA-6 tu hakusumbui halafu unapeleka Reconaissance Special Forces wakupe precise location ya valuable targets usiku unapaki MLRS A-100 na MS-2 ambazo tunazo unasafisha uwezo wote wa adui hakuna cha Sukhoi wala F-5 za wakenya kesho yake ground troops zinasonga mbele hivi ndivyo medani zinavyofanya kazi..
 

I envy you dude
Vp kasi yetu ya kujenga ground troops capability? By the way tusi undermine sana umuhimu wa airforce hasa kipindi hiki ambacho majirani zetu wote hawaaminiki kwa mfano Kenya wamejijenga sana kwenye airforce wana jet fighters nyingi nadhani kuliko nchi zote za EAC na wanaendelea kununua sasa hawa siku wakiamua kukinukisha itakuwa balaa
 

Kwenye Ulinzi under estimation ni kosa kubwa hata sisi tulishinda 1978 kwa kuwa under estimated na Hitler alishindwa WW II kwa ku under estimate opposition (operation Barbarosa). Airforce itajengwa kwa uwezo uliopo ki ukweli ni mdgo ila bado tunakosa viongozi wazalendo "ufisadi". Ingelikua ni mimi ndio Weaponry Advisor sisi tulihitaji J-10 (Chinese) hili ndio jibu la mahitaj ya Air Force ndogo km yetu na kubalance ushindan na majiran zetu. Multirole, heavy Ordinance, 4th G, ndogo, only 15metres, na bado uchumi wetu unaimudu kwa idadi ya kumi tu.
Ila bado msingi mkubwa uendelee kwenye Ground capability. Navy pia kias chake.. Kuna tenda ya new destroyers sijui imeishia vp mana zilishaingia siasa na mi na hayo mambo tofauti.
 

Tatizo kubwa la hii nchi mkuu ni siasa safi na uongozi bora.. Wataalamu wengi kama wew wanakwamishwa na haya mambo
 
Kwani tunahitaji kununua ndege za kivita? Ni uharibifu wa kodi.

Haujasikia JINSI serkiali ya RWANDA inavyotutisha? na sasa hivi tutakuwa na Rasilimali nyingi za kuzichunga ANGANI...

Tatizo ni kuwa hizo Ndege Rahisi kweli kuonekana kwenye RADA; ndizo ni moja ya ndege zinazoongoza kwa kudakwa kwa RADA na kupigwa MISSILES

## Tuna waendesha ndege za kivita wa hali ya juu
 

Mkuu nakubaliana na wewe waendesha ndege wetu ni wa ukweli sana Kwa Africa baada ya Wa Ethiopia (nadhani ndo wanaongoza kama kumbukumbu zangu zipo sawa) S.A na Egypt sisi ndo tunafuatia kwa kuwa na well trained jet fighters pilots ila hatuwapi zana za ukweli huwezi kumpa ndege inayo onekana kirahisi kwenye rada halafu ukategemea makubwa sana toka kwake mpe zana za kisasa na atakupa matokea makubwa sasa
 

Tenda ya new destroyers bado ipo on anatafutwa supplier atakae toa dau kubwa (Rushwa kubwa) ila nadhani kabla ya 2015 lazima zitanunuliwa tu kabla uongozi haujabadilika wasije wakakosa hata hiyo rushwa ndogo wanayopewa sasa hivi
 
Hii destroyer mnayoisema ndo hii nnayoifahamu au mnaongelea boat za kawaida za baharini.
Maana destroyer si mchezo,hata wamarekani sio kuwa wanazo kwa mamia,sidhani hata kama zitafika mia.
 

Mara nyingi Pilots waliobobea wa ndege za kivita wanajua wakati ndege yao imeisha onwa na kutunguliwa na rada ya maadui; na mpango ni wa yeye kutafuta sehemu nzuri ya ku lift off maadui wasimshike…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…