In peace time priority kubwa ya resources huelekezwa kwenye social-economic developments.. Barabara, maji, elimu, afya etc. Na during War time resources huwekezwa kwenye zana zinazoendana na mahitaji ya kipindi hicho.. Mwaka 1978 tukiwa na hizi ndege zilikua juu kwa wakat huo ila bado vita ya kiuchumi inamahitaji mengi kwetu kuliko military hardwares kwa sasa.. Kuirusha Shenyyang J-7 Horsepower 1850 lisaa moja hewan inakunywa lita 100 za mafuta (bei ya mafuta ya ndege ni kubwa kuliko mafuta mengne yoyoye) na kila ikishuka huitaji service nyepesi na chek up.. Sniper rifle moja tu complete set aina ya Chey Tac inauzwa USD 11,200 zaidi hata ya Altezza na inabidi uwe nazo za kutosha kama unataka effective force... kwa kifupi hizi mashine ni BIG LIABILITY ndio maana vita nying ya Mmarekani inakua na benefit factor hata kule Afghanistan kwenye jangwa bado Mmarekani atafaidika kama akifanikiwa cz Ugaidi ndio tishio kuu la Uchumi wa Marekani kuliko hata China na India... hivyo vita ya kiuchumi tunayopigana na majirani zetu sasa inabidi ipewe priority zaid na kuhakikisha hatuingii kwenye mgogoro wowote un-necesaary.. Vita yoyote kwa sasa ni kuufanya uchumi wetu uendelee kua tegemezi kwa majiran zetu achilia mbali Ulaya na Amerika. Tayar tunalikata gap la kiuchumi kwa kasi kati yetu na Kenya ambalo pia ukiachilia mambo mengine lilichangiwa kwa kias kikubwa na vita yetu na Uganda so to me mtu kama Kagame asiangaliwe kama shujaa sana kwa kuwa na Sukhoi 6 ambzo ki ukweli ni show off tu cz huwez rusha sukhoi 30 kumpiga Kony utakua huna akili timamu.. Kony anapigana na ww kwa AK-47 (million 1) ww unampiga na Sukhoi (billion 300) plus fuel & technical costs halafu inaweza ikapata mechanical failure ikaanguka km zile Mi-24 za Uganda zilivyo anguka Kenya kwa kifupi utakua mpumbavuu. Uganda tutampiga vzur kwa kuhakikisha hatujiingizi kwenye mgogoro wowote na yeye then after 30 yrs Sukhoi zitakua outdated grounded hazijafanya kaz yoyote watapima wenyewe sasa kama zina manufaa au laa.. Na hii tutafanya kwa kuhahakisha Great Lakes Region inakua peacefull kama tulivyoanza Congo. Uwekezaji tunaoufanya sisi kwenye silaha sio mbaya so far bajet inaonyesha 0.2% of GDP inaenda kwenye ulinzi ingawa ki ukweli inazidi ila kiusalama wacha dunia ijue hiyo hiyo.. Ila bado UFISADI unatuumiza. Tungeweza kua na best hardwares zaid ya tulizo nazo. We'r best in trainings, tactics, utayar na vijana wetu ni bora zaid kimapambano hiyo ndio rasilimali ya kwanza anayedhani kununua hardwares is as easy as order Spacio from Japan atakua ni mtoto wa shule na asiwe front mno kuongelea mambo makubwa asiyoyajua.