burundi ni nchi rafiki
Yajayo yanafurahisha.Burundi tukiwaambia iwe kwenye muungano kama wa Zanzibar na Tanganyika,mbona kesho tu asubuhi na mapema wanakubali.
Burundi tukiwaambia iwe kwenye muungano kama wa Zanzibar na Tanganyika,mbona kesho tu asubuhi na mapema wanakubali.
Sio kweli, Wazanzibari wamejaza magorofa Kariakoo,Ilala na Magomeni. Wamesambaa Bara na Visiwani wanafanya biashara za used kutoka Zanzibar. Wanafurahia muungano wetu adhim.Zanzibar? Waulize wazanzibari wenye nchi yao.
Kufuata mgeni kwa gharama zetu ni dalili za ukata mkali wa wageni uliopindukia.
Inconceivable!
Sio kweli, Wazanzibari wamejaza magorofa Kariakoo,Ilala na Magomeni. Wamesambaa Bara na Visiwani wanafanya biashara za used kutoka Zanzibar. Wanafurahia muungano wetu adhim.
Zanzibar ipo salama kwasababu ipo ndani ya muungano. Nje ya muungano Zanzibar haipo salama. Pia Burundi ni hivyohivyo ikiwa kwenye muungano na Tanzania itakuwa salama na amani.
Kuwa serious mkuu Zbar ndugu zetu watoto wa mama mdogo wanatutoa jasho , inasemekana wapo watawala wachache wana vinasaba vya huko tunajuta kwa kusambaratisha umoja wa taifa letu kwa kipindi kifupi kulikoni tukiwafungulia milango??Napendekeza Burundi ijiunge na JMT, pia comoro maana naona tuna mahusiano nao mazuri.
Sio mbaya tukaongeza watu JMT nako zile zinazoitwa kero za Muungano zipungue.
Hebu tuipigie kabobo tuone.Burundi tukiwaambia iwe kwenye muungano kama wa Zanzibar na Tanganyika,mbona kesho tu asubuhi na mapema wanakubali.