Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Great Thinkers

Hakuna jambo linakera kama

1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu.
2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii.
3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele.
4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana.

Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina kipaumbele na elimu taifa hilo limekufa na haliwezi lwenda mbele. Yaani unategemea Steve Nyerere anakuwa.mstari.wa mbele kuwakilishi ikulu so what crazy national tunaongozwa na mazwazwa.

Tanzania inahitaji mapllinduzi ya kifikra na maamuzi.magumu kutoka hapa tulipo ambapo nchi inaendeshwa kwa propaganda kupitia machawa na nguvu ya dola huku watu wakijiliimbikizia mali wakati watz wengi wamelala..

Screenshot 2025-03-22 112521.png
IMG-20250322-WA0044.jpg

 
Back
Top Bottom