Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Waarabu hawajui fair play ndio maana huwa hawafiki popote nje ya Afrika.. I saw the replay, Kaseja was first to the ball, Chamakh akaenda kujikwaa kwa kusudi kabisa ..naona refa hataki masikhara kapiga mtu kadi ya njano kwa kulalamika inaelekea waarabu wanatafuta penalty wafunge basi warudi nyuma kuzuia
Waarabu hawajui fair play ndio maana huwa hawafiki popote nje ya Afrika.. I saw the replay, Kaseja was first to the ball, Chamakh akaenda kujikwaa kwa kusudi kabisa ..
el Hamdaoui.nani kafunga?
Hawaonyeshi mkuu. TBC1 ndo kabisaaa
Tulishasema tangia mwanzo kwamba wawe makini na header za Chamakh lakini wapi..sikio la kufa halisikii dawa..
Kwani kampeni leo zimesitishwa?
Labda tutachomoka tusubiri kipindi cha pili labda vijana watakuja na nguvu mpya.