dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Uvumilivu nao unakikomo,Mbona mnawakatia tamaa hivyo jamani
Sivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvumilivu nao unakikomo,Mbona mnawakatia tamaa hivyo jamani
Walifungwa zile 7 katikati ya UBORA wao, kuteleza kupo. Lini timu yetu iliwahi kuwa bora?Mkuu inawezekana wewe sio mtu wa mpira, Brazil wenyewe walishawahi kufungwa goli 7 pamoja na mastaa walionao. Taifa stars imecheza vizuri by the way
Kufungwa ktk mechi ya kirafik sio matatizo bali ni changamoto kwa kocha na wachezaji kuelekea kuwa na kikosi bora.Yani ulivoitoa iyo hbr kama vile sio mtanzania, nadhan nyinyi wengine mnafurahia tunapopata matatizo kama taifa.
Umenikumbusha hadithi ya kichwa cha mwendawazimu?Kipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia
Hio ni improvement kuna mechi walitufunga 6 au 7 hivi! Tumejitahidi sana, mechi ijayo tutafungwa 1 tu!Kipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia