Sio soka tu, kila kitu sisi hatuna afadhali.Kitu ambacho nimegundua Tanzania hatujaandaliwa kucheza soccer hata walete kocha gan hapa hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio soka tu, kila kitu sisi hatuna afadhali.Kitu ambacho nimegundua Tanzania hatujaandaliwa kucheza soccer hata walete kocha gan hapa hamna kitu
hakuna tatizo ni mpira tu wenzetu wametuzidiKipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia
Nne zenyewe tumepata Nafuu tungepigwa ata 7 ili tupate akili
Hapa kama serikali ingeruhusiwa kuingilia huoni kama yule naniliu angeshaingilia na KUWAFUNGIA baadhi ya wachezaji?Tatizo ni TFF maana ndiyo wenye jukumu la kusimamia mpira nchini. mbaya zaidi FIFA hawataki serikali iingilie mpira vinginevyo jiwe angeshawatumbua na angekuwa kafanya kazi nzuri sana. TFF wanawaza matumbo ma si mpira wetu.
Kipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia
Tunaekeza kwenye viwanda na kununua madiwani, tukimaliza tutalitafuta tatizoKipigo cha goli 4 kwa Timu yetu ya Taifa dhidi ya Algeria Tatizo la msingi ni nin hasa...? Lakini nini kifanyike tutoke hapa tulipofikia
TFF ndo wanacheza MPIRA UWANJANI?Tatizo ni TFF maana ndiyo wenye jukumu la kusimamia mpira nchini. mbaya zaidi FIFA hawataki serikali iingilie mpira vinginevyo jiwe angeshawatumbua na angekuwa kafanya kazi nzuri sana. TFF wanawaza matumbo ma si mpira wetu.