Kine Master
Senior Member
- Aug 4, 2022
- 153
- 71
kila kitu mtandaoni kitakachokupa faida ya uhakika ziko deep sana ila ukiwa mvumilivu kiukweli internet ina fursa nyingi sana mfano amazon zipo smartwatch zinazouzwa mpaka $5 unaweza ukanunua na ikifika hapa bongo unaweza kuuza hata zaidi ya $7 sasa hapo hauoni fursa?tunapokwama wabongo wengi hatuna maarifa sahihi kutokana na elimu yetu pia suo watafutaji, just imagine tech kama team viewer au any desk, ni just networking na programming concepts tu ambazo mtu alikua na uelewa deep kidogo akafikiria, lakini haya yote yanahitaji uwe na kichwa kilichochangamka