tunapokwama wabongo wengi hatuna maarifa sahihi kutokana na elimu yetu pia suo watafutaji, just imagine tech kama team viewer au any desk, ni just networking na programming concepts tu ambazo mtu alikua na uelewa deep kidogo akafikiria, lakini haya yote yanahitaji uwe na kichwa kilichochangamka