Tanzania “the best country foreign investment in East Africa .

2020 mlikuwa 1.3 billion ila 2021 mmeshuka cause of covid etc
So tulishuka by almost half?! Kutoka $1.3b to $717m! If its true tulishuka hadi $717m, where is is written in that report? Ama takwimu siku hizi watu wanatoa akilini?
 
Where is is written in that report that Kenya's is $717m? Even $999m or $10m are all below $1b
 
Where is is written in that report that Kenya's is $717m? Even $999m or $10m are all below $1b

Bwana mdogo mbona vitu viko wazi!!!???
In the thematic context, check which colour does Kenya belong!!!
 
Bwana mdogo mbona vitu viko wazi!!!???
In the thematic context, check which colour does Kenya belong!!!
Nataka unionyeshe mahali imeandikwa 717m dollars in the whole report.
 
Nataka unionyeshe mahali imeandikwa 717m dollars in the whole report.

Kwani wewe shuleni hukusoma statistical geography?
Nenda Kwenye ramani, angalia Kenya ina rangi gani. Halafu nenda kwenye key. Then utajua Kenya belong to which range.
 
Tzn chini ya mama itafanya vizuri zaidi maana pm kasema ndani ya siku 100 za mama wamepata miradi yenye thamani ya us bil.1 plus
 
Kwani wewe shuleni hukusoma statistical geography?
Nenda Kwenye ramani, angalia Kenya ina rangi gani. Halafu nenda kwenye key. Then utajua Kenya belong to which range.
Stop avoiding the question. In that range ya below $1b ni wapi pameandikwa Kenya's figure is $717m? That's the elephant in the room you are trying to avoid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…