Ukuaji wa uchumi wetu umewahi hata kushuka hadi 0.2% mnamo mwaka wa 2008 wakati nchi yetu iliingia kwenye machafuko, halafu pia tumechezea kenye 4% kwa muda mrefu, sasa nyie muda wote tunaambiwa 7% or more lakini ukiangalia pengo la uchumi baina yetu na nyie linazidi kuongezeka, tunaendelea kuwaacha kuleee!!!!
Acheni kupika data na mkubali matokeo kama yalivyo, it's the first step towards development, kuujua ukweli wa jinsi unavyofanikiwa kama kweli unapiga hatua za kweli au maigizo. Upikaji wa data utawapa feel good sensation lakini tatizo litabaki pale pale. Ni kama domo zege anayeishi kwa nyeto miaka yote hataki kutia jitihada za kutongoza apate the real thing.
Be ready to handle the truth and you will be free.