joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #181
Five months down the line tangu tumeripoti mgonjwa wa kwanza, no knockdown, no face masks, no social distance, no nothing, kwanini tusingekua zaidi ya South Afrika ambayo imechukua na kuweka sheria Kali sana za kudhibiti Corona.Saa hii watu 270 wamekufa Kenya, 11 a day countywide, that is a number easy to hide if you ignore and give other reasons for deaths. Tanzania should be able to ignore such numbers and say there is no corona, watasema ni diabetes ama blood pressure au cancer
Lakini .... south africa walikua hapa papo 1 month ago
Je vifo zikifika 500 a day, Tanzania wataendelea kusema corona imeisha? Au wanahabari wataambiwana ccm wanyamaze au stesheni ifungwe?
South Africa pamoja na kuweka "stringent measures" lakini bado wanakuwa kwa wingi, iweje Tanzania ambayo haijachukua hatua hizo bado inasema muda bado?