Tanzania: The one man show country

They are writing what is being reported, not because they give a damn about TZ, it is the truth whether you accept or not.
It is not the truth.
 
Wewe hamnaga kitu unajua, bandari ya bagamoyo umengalia mkataba wake? Ni wakenya aina yako na kina Uhuru ndio wangeukubali.

Wapambe wote hamjaona huo mkataba, hakuna hata mmoja wenu anayeeleza kitu cha kueleweka, mpo mnapelekeshwa kama kawaida ya Lumumba JF brigade.
Nimefuata hoja zenu kwenye jukwaa la siasa, hakuna anayesema kimoja na mwenzie.
Ndugai japo huwa sikubaliani na alivyo, ila kwa hili amelitolea tamko lenye mantiki.
 
Tuelezee logic ya kujenga bandari mpya 60km kutoka bandari ya Dar na 24km kutoka Zanzibar.
 
Tuelezee logic ya kujenga bandari mpya 60km kutoka bandari ya Dar na 24km kutoka Zanzibar.
Ndio hilo nalozungumza kuhusu, mumekaririshwa kuimba hoja nyepesi ya bandari bandari na kutojishughulisha kuangalia mradi wote kwa mapana yake, nasubiri nione nini hicho kikubwa kilisababisha msitishe. Huu mradi Kikwete alikua amefunga bao kali sana kama ungefaulu,
- Viwanda 1,000
- Ujenzi wa Mji wa Kisasa
- Logistics Park (Kituo Cha Usafirishaji)
- Bandari yenye uwezo wa 4th generation ships kitu ambacho kiko Afrika Kusini tu, labda tukikamilisha Lamu ndio tutakua na uwezo huo

Kwa kweli mngefungasha huu uwekezaji na SGR hapo lilikua bao la uhakika, lakini mnavyotapatapa na hoja nyepesi hata wana Lumumba wenyewe mumechanganyikiwa hamsemi kimoja na kwa umoja.
 
Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingine
 
Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingine

Jibu hoja zake kitaalam wacha tuhuma za personal attacks, hebu fuata uzi wake hapa chini na usome bila mihemko wala ushabiki, pitia neno kwa neno
 
Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingine
Naonanga zitto na hako kachama kake nacheka tu..Yaani miaka yote CAG amewepa ACT hati chafu..Hata CCM inawashinda kila kuchao wanapewa hati safi, chama chenye wanachama mamilioni.
Kwake kigoma ujiji hati chafu kila mwaka mfululizo
Halafu unasikia majuha yana kenua meno humu eti hoja za zitto zina mantiki, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa hata bibi yake amempa hati chafu kwa shughuli za kijamiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dondoo za mkataba zinadokeza China Merchant Holdings (wachina) walitaka kumiliki ardhi yote ya Bagamoyo na kupewa hati ya ardhi kwa miaka 99 na wao wakimeneji kila kitu. Tozo na kodi zote za viwanda na biashara zitakazo kuwepo wao ndio walitaka kuhusika, ni kama vile waingereza walivyofanya Hong Kong. kwa hiyo wauza maji, bodaboda, mama ntilie na serikali kwa ujumla wasingeruhusiwa kutia pua.

Katika mkataba hawakutaka bandari zingine (200km kutoka bagamoyo) ziendelezwe hivyo Dar na Tanga zingekufa. Na kama lango kuu la nchi linamilikiwa na wageni, vipi wakiamua kupiticha dhahabu, tutajua? Meno ya tembo je? Kwenye mambo ya kiusalama, wakiingiza silaha tutajuaje? Wakiweka mtabo wa kusikiliza mawasiliano tutajuwaje?

Na kwa kuwa gharama za ujenzi zilikuwa zao na wangehitaji kurudisha pesa zao, wakitudanganya kuwa wanapata hasara tutajuaje wakati mkataba unawpa mamlaka ya kumeneji kila kitu.
 
Naona Tz imebadilika kweli kweli
Hapo nyuma ungesikia eti mradi umesimamishwa hata hakuna kuhoji kwa undani, issue ilikuwa mwekezaji amekataa kutoa 10% hongo kwa mawaziri..Sasa hilo halipo tena, mradi ukisimamishwa tayari kila mtu anajua ni sababu za kiuchumi, kizalendo au kiusalama
 
Kwani kenya ina uchumi kulingana na jimbo lipi marekani, mnajifanyaga mmeweza sana kumbe ng'ombe tu.

Magufuli ndio mme wenu EA wote wanaufyata, kama unabisha kohoa.
waambie kama wanabisha tena tuchome vifaranga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺ
 
mbna mnatema povu na wakati serekali yenu imesema haijaufuta huo mradi km invyodaiwa...bado wapo kwenye maongezi...

yani got ni kw kukanusha tu na wakati juzi mradi ulipigwa teke...au vile ndugai katia pua yake...

yani serekali yenu hovyo...km hayo madai mnaongelea ni kweli...basi serikali yenu isingelipinga km bado mradi haujafutwa.....yani unaongelea mradi ambao tayari uliupinga
 
Tanzania,bado tumelala.tukija kuonja radha ya demokrasia,tutakuja kujiona ni wapumbavu San.
Tukazane saiv,wakati bado tukiw wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…