Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
It is not the truth.They are writing what is being reported, not because they give a damn about TZ, it is the truth whether you accept or not.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is not the truth.They are writing what is being reported, not because they give a damn about TZ, it is the truth whether you accept or not.
Wewe hamnaga kitu unajua, bandari ya bagamoyo umengalia mkataba wake? Ni wakenya aina yako na kina Uhuru ndio wangeukubali.
Tuelezee logic ya kujenga bandari mpya 60km kutoka bandari ya Dar na 24km kutoka Zanzibar.Wapambe wote hamjaona huo mkataba, hakuna hata mmoja wenu anayeeleza kitu cha kueleweka, mpo mnapelekeshwa kama kawaida ya Lumumba JF brigade.
Nimefuata hoja zenu kwenye jukwaa la siasa, hakuna anayesema kimoja na mwenzie.
Ndugai japo huwa sikubaliani na alivyo, ila kwa hili amelitolea tamko lenye mantiki.
Ndio hilo nalozungumza kuhusu, mumekaririshwa kuimba hoja nyepesi ya bandari bandari na kutojishughulisha kuangalia mradi wote kwa mapana yake, nasubiri nione nini hicho kikubwa kilisababisha msitishe. Huu mradi Kikwete alikua amefunga bao kali sana kama ungefaulu,Tuelezee logic ya kujenga bandari mpya 60km kutoka bandari ya Dar na 24km kutoka Zanzibar.
Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingineHuo uhatari mbona hautolewi taarifa, nimeona kule jukwaa la siasa Watanzania wengi wana kiu cha kujua huo uhatari, yaani mkataba uwekwe wazi nini haswa mlichokikatalia, Wote wanaosema ulikua mkataba mbaya wameishia kutaja taja tu kwamba bandari ya Dar, Mtwara na Mafia zingemalizwa na kwamba Mchina angejimilikisha Bagamoyo yote, lakini hakuna anayeiweka wazi neno kwa neno.
Zitto Kabwe aliitolea analysis kali sana ya nini mnapoteza hadi nikahisi kauchungu japo sio nchi yangu.
Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingine
Naonanga zitto na hako kachama kake nacheka tu..Yaani miaka yote CAG amewepa ACT hati chafu..Hata CCM inawashinda kila kuchao wanapewa hati safi, chama chenye wanachama mamilioni.Umaarufu wa zito umepungua kutokana na kutumiwa vibaya na kila mwekezaji mpenda short cut. Usimwamini Sana zito ni Kama mwanamke Malaya tu. Ukiwa napesa anakukubali ukifulia anaenda kwa mwingine
Dondoo za mkataba zinadokeza China Merchant Holdings (wachina) walitaka kumiliki ardhi yote ya Bagamoyo na kupewa hati ya ardhi kwa miaka 99 na wao wakimeneji kila kitu. Tozo na kodi zote za viwanda na biashara zitakazo kuwepo wao ndio walitaka kuhusika, ni kama vile waingereza walivyofanya Hong Kong. kwa hiyo wauza maji, bodaboda, mama ntilie na serikali kwa ujumla wasingeruhusiwa kutia pua.Ndio hilo nalozungumza kuhusu, mumekaririshwa kuimba hoja nyepesi ya bandari bandari na kutojishughulisha kuangalia mradi wote kwa mapana yake, nasubiri nione nini hicho kikubwa kilisababisha msitishe. Huu mradi Kikwete alikua amefunga bao kali sana kama ungefaulu,
- Viwanda 1,000
- Ujenzi wa Mji wa Kisasa
- Logistics Park (Kituo Cha Usafirishaji)
- Bandari yenye uwezo wa 4th generation ships kitu ambacho kiko Afrika Kusini tu, labda tukikamilisha Lamu ndio tutakua na uwezo huo
Kwa kweli mngefungasha huu uwekezaji na SGR hapo lilikua bao la uhakika, lakini mnavyotapatapa na hoja nyepesi hata wana Lumumba wenyewe mumechanganyikiwa hamsemi kimoja na kwa umoja.
Naona Tz imebadilika kweli kweliDondoo za mkataba zinadokeza CMG (wachina) walitaka kumiliki ardhi yote ya Bagamoyo na kupewa hati ya ardhi kwa miaka 99 na wao wakimeneji kila kitu. Tozo na kodi zote za viwanda na biashara zitakazo kuwepo wao ndio walitaka kuhusika, ni kama vile waingereza walivyofanya Hong Kong. kwa hiyo wauza maji, bodaboda, mama ntilie na serikali kwa ujumla wasingeruhusiwa kutia pua.
Katika mkataba hawakutaka bandari zingine (200km kutoka bagamoyo) ziendelezwe hivyo Dar na Tanga zingekufa. Na kama lango kuu la nchi linamilikiwa na wageni, vipi wakiamua kupiticha dhahabu, tutajua? Meno ya tembo je? Kwenye mambo ya kiusalama, wakiingiza silaha tutajuaje? Wakiweka mtabo wa kusikiliza mawasiliano tutajuwaje?
Na kwa kuwa gharama ya ujenzi ilikuwa yao na watahitaji kufidia, wakitudanganya kuwa wanapata hasara tutajuaje wakati mkataba unawpa mamlaka ya kumeneji kila kitu.
Umetoa muhstasari mzuri kabisa.Sasa hilo halipo tena, mradi ukisimamishwa tayari kila mtu anajua ni sababu za kiuchumi, kizalendo au kiusalama
waambie kama wanabisha tena tuchome vifaranga 😂😂💪Kwani kenya ina uchumi kulingana na jimbo lipi marekani, mnajifanyaga mmeweza sana kumbe ng'ombe tu.
Magufuli ndio mme wenu EA wote wanaufyata, kama unabisha kohoa.
Demokrasia gani hiyo unayoikata?Tanzania,bado tumelala.tukija kuonja radha ya demokrasia,tutakuja kujiona ni wapumbavu San.
Tukazane saiv,wakati bado tukiw wajinga
Uhuru ulionao ni wa jf tu.nenda twiter kakosoe,utaishia waipoenda kina mdudeDemokrasia gani hiyo unayoikata?
Kwani twitter inamilikwa na watanzania?Uhuru ulionao ni wa jf tu.nenda twiter kakosoe,utaishia waipoenda kina mdude